Huwa anasikiliza anayo yaongea kweli? Huyu ni minister kabisa?View attachment 3352922
Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa.
Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
Mtu ambaye hajui thamani ya nguvu za kiume si wa kumsikiliza.View attachment 3352922
Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa.
Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
Huyu amechizi. Nafikiri alishawahi.kula mjani akaacha.Huyu jamaa nina wasiwasi ubongo wake haupo sawa.