Going thru Divorce

Going thru Divorce

Ndiyo maana wazee wetu walisema ndoa ni msalaba, unabidi uubebe mpaka mwisho wa safari yako duniani, Mungu anakataa kuachana...

duuuuuuuh, maaazee hiyo Avatar yako aha ahahaahaaaaaa 😀 duuuuh! enhee, ngoja niangalie sinema ya bure kwanza, nitachangia hoja yako badae, duh!
 
Nyamayetu sorry spelling Nyamayao!

Kuna tofauti sana kati ya mama na mzazi, mama anaweza kuwa hata Mbwa...lakini mzazi nitofauti...si kweli mama ndiye mlezi wa familia in all scenarios. Kama umeisha ona hii movie ya zamani kidogo inatwa When a Man Loves a Woman ilikuwa directed na Luis Mandoki na kuchezwa na Andy Garcia na Tina Majorino unaona yule mama alivyokuwa mlevi wa kutupwa hajali kabisa watoto! Hii ipo pia kwenye familia zetu nyingi kabisa unakuta mama ameamua kupigwa mikasi na kuwa mlevi ukigusia suala na kuachana wanakuwa wakali eti wao ni walezi wazuri kuliko kina baba thats I can not buy is crap idea. Kuna wazazi hulea watoto wa wenzao kuliko aliyewazaa bwana....kuna wamama (si wazazi) ni balaa hasa hufikia hata kufanyia vituko watoto wa kuwazaa wenyewe vituko kisa haelewani na baba yao....

Nakupa offa uje tuone hii picha kwangu off course na Belinda akiwepo maana huwezi jua....labda utaondokana na wazo eti wakina mama wanalea vizuri kuliko kina baba....

Masa

na sijasema hivyo dear! hao wazazi wa kulea watoto wa wenzao kuliko waliowazaa wenyewe ni wachache sana tena sana, hao wazazi wa kuwafanyia vituko hata watoto wao wa kuwazaa nadhani wana matatizo yao binafsi yanayopelekea kuwafanyia vituko /ukatili! mr ni mtu wa karibu sana kwa mwanae kuliko mimi but ikitokea la kutokea mwanangu ninae!...offer yako naipokea kwa mikoni miwili but cjasema wababa sio walezi wazuri nimesema ishu ni pale mr atakapoamua kuoa kwa mara nyingine hapo ndipo nitashindwa kumwacha mwanangu akae na mama mwingine ilihali ***** mzazi nipo hai!...ukishaweka mambo sawa na Belly unishtue nikaribie.
 
Mbu unavituko sana nilikuwa sijaona signature yako looohh haya mpwa!

Mzee kama ni mali nitamwachia kila kitu, ila watoto wangu aniachie...maana njemba nyingine ianze kubandua mama yao watoto watajisikia vibaya.....I will rather fight again to achieve mali zingine....

kwani wewe ukibandua ndio watajickia sawa?mama/baba mwenye kujiheshimu hawezi kufanya hayo wanae wakiyaona! hayo mambo mnayafanyia hukooo mkirudi nyumbani na busara zenu, mkiyafanyia ndani mnamfunza nini mtoto/watoto?..watoto wangu siwachi nyuma.
 
Mzee kama ni mali nitamwachia kila kitu, ila watoto wangu aniachie...maana njemba nyingine ianze kubandua mama yao watoto watajisikia vibaya.....I will rather fight again to achieve mali zingine....

na wewe ukioa mke mwingine hutambandua watoto wakisikia? huo ni ubinafsi
 
Mtoto ni wa mama siku zote. Ndio maana watu wanapenda mama zao zaidi kuliko baba zao. Mwanamke anakimbilia kuchukua wanawe kwa kuwa ndio mwenye uchungu na watoto.
Nani kama mama.
Uchungu wa mwana, ajuaye mama.
"Uchungu wa mwana, aujuae mzazi"

Usibadili Methali.
 
duuuuuuuh, maaazee hiyo Avatar yako aha ahahaahaaaaaa 😀 duuuuh! enhee, ngoja niangalie sinema ya bure kwanza, nitachangia hoja yako badae, duh!

Usiniambie tu kuwa bado unaangalia sinema na kusahau kuchangie hii hoja..Avatar ya Chamtuvima ni soo eeh!!
Endeleza hoja jukwaani utacheki picha baadae..
 
Usiniambie tu kuwa bado unaangalia sinema na kusahau kuchangie hii hoja..Avatar ya Chamtuvima ni soo eeh!!
Endeleza hoja jukwaani utacheki picha baadae..

...haya BJ nimekusikia, duh...inabidi nikikumbana tena na chamtumavi ni skip maono yake, avatar yake mgogoro kweli kweli...

Kama ndio kwanza umeachana na mkeo (hawa wanawake wetu wa uswazi), halafu anakukuta unachezewa hivyo hachelewi kurusha magumi! 😀

Kuna wachangiaji wawili watatu wanashauri tu advocate zaidi kudumisha ndoa badala ya talaka, ingawa ukiwauliza ama baba mdogo, ama mjomba, ama kaka, ama shangazi mtu keshakumbwa na dhahma hiyo...

Talaka mbaya, hata mwenyezi mungu haipendi...lakini inapotokea, lazima ujue athari zake, ndio maana tunajadiliana jinsi ya kui handle dhahma hiyo pindipo itatokea.

Kuna jamaa mkewe alipomtamkia "sikutaki, nataka talaka yangu," alichukua wanawe wawili na kujirusha nao toka juu ghorofani! Mwingine mahakama ilipoamuru akabidhi nyumba na watoto kwa mkewe, kwanza aliwaua wototo, kisha akaipiga kibiriti nyumba kabla yeye mwenyewe hajajiua! ....
 
kuna shori aliwahi kuniambia sina mapenzi ya kweli......maana sina wivu,sijali akienda akirudi usiku wa manane poa tu.....akisema kachoka hataki mapenzi poa tu naenda viwanja......
akisema anataka watoto mbona raha sana mpe aende nao uwe free......sijui nyumba na mali zingine muachie kila kitu anza mbele....hivi wa2 hawajui raha ya kuwa single.....kama sasa niko JF nakaa muda niutaka sina usumbufu wa SMS na simu za uko wapi unafanya nini....
 
Back
Top Bottom