Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Naona GoK imezidiwa na madeni sasa wanaanza kutafuta mikopo zaidi ili kulipa madeni ya Eurobond za huko nyuma, urari wa GDP na deni la taifa umeshatinga 60% lakini wanasema sio mbaya hata ikifika 75% ni sawa tu.
Sasa hivi kwanza wanataka kukopa USD 750 million kulipa madeni ya Eurobond ya miaka michacHe hapo nyuma; wakati huohuo wako mbioni kwenda USA kukopa nyingine USD 3.0 billion za ujenzi wa infrastructure na malipo ya wadai wengine...
Haijajulikana hizi nazo watatakiwa kulipa lini, hii ni vicious cycle na msipoangalia NASA ndio watakuja kutakiwa kulipa siku watakapobahatika kushika nchi....
Swali: Hali hii ikiendelea itawezekana kweli kutekeleza miradi cosmetic kama cable cars Ksh 6 billion, electrification of SGR, bandari ya Lamu na Expressways bila kuwaingiza wakenya ktk lindi la madeni yasiyolipika?
Tukiacha ushabiki wa miradi na mihemuko ya hapa jamvini, hivi waKenya wanauwezo kweli wa kuhoji namna gani serikali yao inavyofanya haya maamuzi pamoja na kusifika kuwa na katiba bora kabisa duniani?
Mwenye uwezo wa kutoa hoja zenye ushawishi anakaribishwa🙂
For your reference:
Kenya to stage US roadshow in drive for $3b Eurobond
Kenya borrows to pay debt in sign of loan service stress