GOK na Madeni - Hii habari si nzuri sana

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Posts
4,473
Reaction score
4,252
Naona GoK imezidiwa na madeni sasa wanaanza kutafuta mikopo zaidi ili kulipa madeni ya Eurobond za huko nyuma, urari wa GDP na deni la taifa umeshatinga 60% lakini wanasema sio mbaya hata ikifika 75% ni sawa tu.

Sasa hivi kwanza wanataka kukopa USD 750 million kulipa madeni ya Eurobond ya miaka michacHe hapo nyuma; wakati huohuo wako mbioni kwenda USA kukopa nyingine USD 3.0 billion za ujenzi wa infrastructure na malipo ya wadai wengine...

Haijajulikana hizi nazo watatakiwa kulipa lini, hii ni vicious cycle na msipoangalia NASA ndio watakuja kutakiwa kulipa siku watakapobahatika kushika nchi....

Swali: Hali hii ikiendelea itawezekana kweli kutekeleza miradi cosmetic kama cable cars Ksh 6 billion, electrification of SGR, bandari ya Lamu na Expressways bila kuwaingiza wakenya ktk lindi la madeni yasiyolipika?

Tukiacha ushabiki wa miradi na mihemuko ya hapa jamvini, hivi waKenya wanauwezo kweli wa kuhoji namna gani serikali yao inavyofanya haya maamuzi pamoja na kusifika kuwa na katiba bora kabisa duniani?

Mwenye uwezo wa kutoa hoja zenye ushawishi anakaribishwa🙂

For your reference:

Kenya to stage US roadshow in drive for $3b Eurobond

Kenya borrows to pay debt in sign of loan service stress
 
acha kulialia kama mama,deni ni letu na tutalipa
 
Halafu upande wa pili Magu ana-tight spending inflation 4% while tax collection highest n all money laundering bureau de change have been shut down already 600 of 1200km fedha imetoka budget yetu. Pretty sure our credit rating will be above B+ for the anticipated Eurobond.
 
Nchi Inadeni Zaidi ya nusu ya pato lake
Nchi wananchi wake Hawajui waishije Zaidi yakuomba Mbwa wazae wapate mlo wa maziwa yake
nchi ambayo wananchi wake wanaona heri kuua watotoa wao wapendwa kwa mikono yao Kuliko kuuliwa na Njaa!!
Kenya ndio Taifa la hovyo East Africa na la aibu kabisa
 
Hahahahahahaha watu wa LDC wanatokwa povu kwa nini ilhali deni ni letu na hatujawaomba msaada(Masikini wa kutupwa hata kuwaomba ni kuwakandamiza vizazi na vizazi) Tanzania ni Nchi bure kabisa afathali ingekuwa mkate tugawane na kutia vinywani.
 
Nchi Inadeni Zaidi ya nusu ya pato lake
Nchi wananchi wake Hawajui waishije Zaidi yakuomba Mbwa wazae wapate mlo wa maziwa yake
nchi ambayo wananchi wake wanaona heri kuua watotoa wao wapendwa kwa mikono yao Kuliko kuuliwa na Njaa!!
Kenya ndio Taifa la hovyo East Africa na la aibu kabisa
Njooni mkawachukuwe ombaomba wenu yani wanalishwa na Nchi yenye njaa hadi wanakatalia humu, kwani Tz kuna vita, ukame, njaa na Hata umaskini?
 
JAMANI WATANZANIA, TUWE MAKNI NA UTANI N JAMAA ZETU KENYA..SUALA LA KUKOPA HATA SISI TUNAKOPA NA TUTAKOPA SANA KWANI HATUNA PESA ZA KUTOSHA KUJENGA RELI KUTOKA MORO HADI MWANZA BILA KUKOPA..LAKINI PIA TUNAMIRADI MUKBWA YA KUZALISHA UMEME HASA STOGIAS GOURGE PALE RUFIJI.HIZI PESA LAZIMA TUKOPE..KWA HIYO NI SHAURI KWANZA TUANGALIE MAMBO YETU SIYO KUPOTEZA MDA KWA MAMBO YSAYO YA MAANA

Mwanaume Ni Deni....! Shindeni hapo na Ujamaa ya ubongo
 
JAMANI WATANZANIA, TUWE MAKNI NA UTANI N JAMAA ZETU KENYA..SUALA LA KUKOPA HATA SISI TUNAKOPA NA TUTAKOPA SANA KWANI HATUNA PESA ZA KUTOSHA KUJENGA RELI KUTOKA MORO HADI MWANZA BILA KUKOPA..LAKINI PIA TUNAMIRADI MUKBWA YA KUZALISHA UMEME HASA STOGIAS GOURGE PALE RUFIJI.HIZI PESA LAZIMA TUKOPE..KWA HIYO NI SHAURI KWANZA TUANGALIE MAMBO YETU SIYO KUPOTEZA MDA KWA MAMBO YSAYO YA MAANA
Stogias gourge ndo nn? Hamna mdudu kama huyu Tanzania!
 
Njooni mkawachukuwe ombaomba wenu yani wanalishwa na Nchi yenye njaa hadi wanakatalia humu, kwani Tz kuna vita, ukame, njaa na Hata umaskini?
Warudishen kamA ni watz mbona hamtaki kuwaondoa kuna nini kwani kinawapa tabu kuwapakia kwenye malori mkawamwage mpakan warud kwao haahahahaaa
 
Wanawatumia kama human shield dhidi ya njaa yao, lengo lao ni kuonyesha kwamba sisi ni ndugu zao ili tuendelee kuwapa chakula, wanawaogopa sana watanzania, hasa Magufuli, hawajui atakavyolichukulia kama watawafukuza, wanadhani Magufuli na yeye atalipiza kwa kuwafukuza wakenya.
 
Warudishen kamA ni watz mbona hamtaki kuwaondoa kuna nini kwani kinawapa tabu kuwapakia kwenye malori mkawamwage mpakan warud kwao haahahahaaa
Vile mnajitahidi kufunga border zenu wakati bidhaa za Kenya zinasafirishwa kuelekea kwenu na mnazikamata na kuzizuia au hata kuchoma. Hivyo hivyo ndivyo mngekuwa mnawakamata na kuwazuia omba omba wenu kuingia Kenya. Imefikia mpaka mnazuia mahindi kutoka zambia kuingia Kenya kupitia mpaka wa Kenya na Tz as if it's for free lakini ikifikia ni ombaomba wenu kuingia Kenya mnakuwa vipofu... Shida zenu Hapana tupia sisi, Man your borders.
 
Back
Top Bottom