CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Tajwa hapo juu ni Aina ya tunda ila lina majina mengi mno. Kwa kiswahili sijui.
Haya matunda yapo ya Wildau ya Msituni au ya Kienyejina piayapo Chotara.
Nchi ya Kolombia ndo mzalishaji mkuu wa haya matunda na akiuza sana Ulaya na USA.
Nchi kama China, India, South Africa ni wazalishaji wakubwa pia na pia nchi kama Australia.
Haya ni moja ya matunda yenye radha ya kuipekee kabisa kwa walio wahi kula yale ya Polini.
Haya matunda yana kazi nyingi sana kama vile Kutengenez Jam, Ice cream, Juice, Decoration ya keki na pia hupikwa.
JAM yake ni moja kati ya the most expensive Jam na haya matunda kwa nchi za Scandnavia ni matunda Ghali mno tena mno. Kama una mtu nchi kama Norway muulize bei ya haya matunda.
Kuna utofauti wa Hybrid na yale ya Polini au mwituni. Utofauti upo kwenye Rangi na pia uzaaji na radha pia.