Golden Eagle car, gari inayodaiwa kuua watu wengi kimiujiza

Golden Eagle car, gari inayodaiwa kuua watu wengi kimiujiza

Inafikirisha sana hii, itakuwa inahusisha mambo ya ulozi na kiroho, labda mtaalam wetu Mshana Jr anaweza kutia neno hapa.
kuna mama fulani hapa bongo miaka kama 5 iliyopita alinunua mdoli mkubwa mtumbani,baada ya hapo familia iliugua hovyo magonjwa mengine hayaeleweki,mara usiku mdoli uhame ulipowekwa ndio ikabidi waende kwa waganga wakaambiwa wauchome moto,walipofanya hivo familia ikawa salama (na maombezi yalitumika)
 
Back
Top Bottom