kuna mama fulani hapa bongo miaka kama 5 iliyopita alinunua mdoli mkubwa mtumbani,baada ya hapo familia iliugua hovyo magonjwa mengine hayaeleweki,mara usiku mdoli uhame ulipowekwa ndio ikabidi waende kwa waganga wakaambiwa wauchome moto,walipofanya hivo familia ikawa salama (na maombezi yalitumika)