Goli 5 bila penalty Wala offside, Simba tunalakujifunza hapa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Japo Mimi ni mchambuzi na mwanasimba kindaki ndaki....ila hil jambo la penalty na Red card linaniuma sana

Nini kifanyike
1. Simba watafute ukbi mkubwa ...pia ifungwe TV kubwa sana ......the wacheki marudio ya mechi za yanga...Ili wajifunze kushinda bila penalty

2. Au wakitafuta ukumbi mkubwa basi wamtafute kocha wa Yanga iliawafundishe ...mbinu za kushinda bila penalty....Wala opponent kupewa penalty
3. Wachezaji wa kolo waangalie training za Yanga Ili wawe physically fit hata wakiguswa kidg ....wawe strong .....kuavoid mambo ya penalty Kwa opponent
1734286893937.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sasa unataka simba wajifunze nini hapo, labda wajifunze namna ya kudhamini vilabu vingi kwenye ligi moja, na kuhonga makocha ili wapange vikosi dhaifu au kununua wachezaji ili wacheze chini ya kiwango basi
 
Hapana mkuu.... wajifunze kushinda bila penalty .....coz huko luza cup hakuna penalty za mchongo

Penati hizo huwa simba wanajichukulia mpira na kupiga au refa ndio anaamuru, na je refa huwa anaamuru bila sababu ama wapinzani wanacheza mpira wa "mugambo wanaruka na kukanyagana"?
 
Back
Top Bottom