Hapana mkuu....huo ni utamaduni tu wa Yanga.....kufunga goli 5.....Baada ya kuifunga mashujaa bao 5 sasa mnaenda kucheza nusu fainali ya kombe la klabu bingwa afrika hongrn sanView attachment 3247621
Hapana mkuuBado hamjasema. Simba bingwa, ubaya ubwela
Hapana mkuu.... wajifunze kushinda bila penalty .....coz huko luza cup hakuna penalty za mchongoSasa unataka simba wajifunze nini hapo, labda wajifunze namna ya kudhamini vilabu vingi kwenye ligi moja, na kuhonga makocha ili wapange vikosi dhaifu au kununua wachezaji ili wacheze chini ya kiwango basi

Ni shida mkuuMechi za simba hadi zinaboa kuangalia, mbeleko hadi aibu
Wee hiyo Luza cup mbna hauko?Hapana mkuu.... wajifunze kushinda bila penalty .....coz huko luza cup hakuna penalty za mchongo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Shirikisho ni kombe la wamama mkuu.........Wee hiyo Luza cup mbna hauko?
Ubingwa upi?Bado hamjasema. Simba bingwa, ubaya ubwela
Nbc p league, unabisha? Ubaya ubwela.Ubingwa upi?
Sawa mwanetuNbc p league, unabisha? Ubaya ubwela.