Goli 5 bila penalty Wala offside, Simba tunalakujifunza hapa

Nimeshika kitu hapo. Mechi haina penalty wala goli la offside au makandokando ya refa. Mtu anasimikwa mkono
 
Mechi za simba hadi zinaboa kuangalia, mbeleko hadi aibu
Hata wenyewe wanafahamu fika kuhusu jambo hili. Binafsi kwenye mechi yao dhidi ya Namungo, nilishindwa kabisa kuangalia yale mauza uza ya yule mwamuzi wao wa mchongo, kwa dakika zote 90 za mchezo.
 
Wakiambiwa wananchi ni mkubwa kuliko kolo wanaleta siasa.
 
aje kayoko aje nani safari hii ni kipigo tu. nyie fungeni magoli ya mikono sisi penalti, na penalti huwa hazitolewi na kila refa isipokuwa marefa wanaojiamini wenye beji ya FIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…