Goli 5 mnazoshinda mtuambie Goli zipi 5 bila penati kuwepo

Unalia lia kwenye nini?
 
Mnajisifia mnashinda goli 5, mtuonyeshe ni mechi zipi mmefunga 5 bila penati?

Tuliwapiga 6-0, 5-0 -4-1 , zote safi bila tuta za mchongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya Mashujaa na Simba, timu yako haikushinda sababu ni goli la penati. Basi andika bodi ya ligi wafanye ile mechi iwe sare.
 
Nilikupiga 5 safi isiyo na penati unasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kweli?. Mwaka gani?. Kuna uwezekano hata wewe unahadithiwa tu. Kwa mateso unayopitia hata miaka 18 hujazidi
Potelea pote tulikunywesha 6 , halafu 5 , historia ni historia hata baada ya miaka 20 utaendelea kuhadithia unayojigamba leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi mna mpambania Saido awe mfungaji bora tuliwaambia goli zake nyingi ni penati nyie dunduka mkawa mnajibu nin humu kwamba kwan sio magoli.
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu hata ulipeleke shule ya ada ya million thelathini kwa mwaka haliwezi kua tofauti.
RAGE SHUJAA.
 
Acha kukaza ta..ko nimeuliza sisi tumewafunga yanga goli 6, 5, 4 bila kuwepo goli la penati,nye mmetufunga na goli 5 ila na penati juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukaza ta..ko nimeuliza sisi tumewafunga yanga goli 6, 5, 4 bila kuwepo goli la penati,nye mmetufunga na goli 5 ila na penati juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Punga hapa ndio umefika mim natumia sana matope yani Kwa kifupi mim ni kambale hapo ndio kwangu kwenye matope..
Utapigwa kitu kiasi kwamba ukiwa unacheka tu vitu vinatoka utafikiri umekula mayai ya samaki aina ya sangara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…