Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Si ule mshuti? Basi ndio hilo hilo hakuna jingine
kabisa mkuuJamaa anaitwa sele bwenzi,Kama vipi wampe tuzo yake mapema
halina mpinzaniHakuna goli Bora Lingine zaidi ya Lile La Ken Gold Dhidi ya Yanga mchezo mkondo Wa pili.
hahahaaaaLijengewe mnara
umeongea fact mkuuUto watakuja apa wakisema goli la chasambi ndo goli Bora.
Yanga ukimtoa mzee Wa Msoga wengine wote ni mbumbumbu
asante kwa maoni yako
Nadhani la Nassor Saadun dhidi ya KMCMpaka sasa ligi kuu TANZANIA BARA ilipofikia unadhani ni goli gani linapaswa kuwa goli bora la msimu huu wa 2024/2025
Kwa upande wangu goli alilofungwa dijgui diara na SELE BWENZI wa kengold(FULL TIME YANGA 6-1KENGOLD)
Yapi maoni yenu wanamichezo
kweli kabisa mkuuLa Ken tumeshalipitisha mpk hatua hii ligi ilipofikia
kweli mkuu,wengine wamekiri kabisaUle mgoli hata Uto wanaukubali kimoyomoyo