Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
- Thread starter
- #21
utani huoHalizidi la chasambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utani huoHalizidi la chasambi
lile la baccaLile la mkono, kwangu goli bora mpaka Sasa.
lile goli kwa ligi zote nadhani linaongozaKWAKUA MASHABIKI WA YANGA HAWAKUA NA LINGINE ZAIDI MPIRA ULIPOISHA WALIMWITA NA KUMPA POSHO KAMA HONGERA
sawa mkuu
kwa umbali ule linafaa kuwa boraNajiuliza tu.. Keeper pazia asiye makini kashindwa kuokoa shuti lililopigwa mita 49.5 kunafanya goli liwe bora?
nimekubali mkuukama itatokea goal keeper mmoja akajichanganya kwa zile long range chip balls za ahoua, that will be the best. Unless Goal bora ni ule mshuti wa dogo sele Ken gold dhidi ya UtoPwiX
Uto watakuja apa wakisema goli la chasambi ndo goli Bora.
Yanga ukimtoa mzee Wa Msoga wengine wote ni mbumbumbu

HahahahaLijengewe mnara
tena mnara uwe mrefu kama wa babeliHahahaha
Hahahaha, m ara wa goli.tena mnara uwe mrefu kama wa babeli
sawa mkuuHahahaha, m ara wa goli.
Mkuu lazima nipige picha chini ya mnara wa huo mgoli.sawa mkuu