Goli hili ndilo lilichaguliwa "Best goal in uefa champions league season 2015/2016

Goli hili ndilo lilichaguliwa "Best goal in uefa champions league season 2015/2016

Mkuu tafadhali hebu rudia tena kusoma ulichokiandika labda utatuomba radhi, maana kwa mawazo hayo sidhani kama unaufahamu mpira vizuri.
Sijapata kutoa kauli yoyote ile, popote pale, kwamba ninaufahamu mpira vizuri. Hilo haliniziwii kutoa maoni na mawazo yangu mbele ya wengine, mkiwamo nyinyi mnaoufahamu mpira vizuri.
 
Back
Top Bottom