dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 Jun 14, 2017 #21 Mwana Mtoka Pabaya said: Mkiamua kusifia huyo shoga wenu mnakosaga hata aibu. Hebu angalia goli la akili mkuu Click to expand... Goli la Ozil ni just a "beautiful goal" sio "best goal" kumbukumbu zangu hilo goli halikuwa hata "Nissan goal of the week"
Mwana Mtoka Pabaya said: Mkiamua kusifia huyo shoga wenu mnakosaga hata aibu. Hebu angalia goli la akili mkuu Click to expand... Goli la Ozil ni just a "beautiful goal" sio "best goal" kumbukumbu zangu hilo goli halikuwa hata "Nissan goal of the week"
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Jun 14, 2017 #22 Mwana Mtoka Pabaya said: Mkiamua kusifia huyo shoga wenu mnakosaga hata aibu. Hebu angalia goli la akili mkuu Click to expand... Wewe Ndiyo Shoga Mbona Umepanic Kwa Mwanaume Mwenzio
Mwana Mtoka Pabaya said: Mkiamua kusifia huyo shoga wenu mnakosaga hata aibu. Hebu angalia goli la akili mkuu Click to expand... Wewe Ndiyo Shoga Mbona Umepanic Kwa Mwanaume Mwenzio
mwangalingimungu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,301 Reaction score 733 Jun 14, 2017 #23 momentoftruth said: Mkuu tafadhali hebu rudia tena kusoma ulichokiandika labda utatuomba radhi, maana kwa mawazo hayo sidhani kama unaufahamu mpira vizuri. Click to expand... Sijapata kutoa kauli yoyote ile, popote pale, kwamba ninaufahamu mpira vizuri. Hilo haliniziwii kutoa maoni na mawazo yangu mbele ya wengine, mkiwamo nyinyi mnaoufahamu mpira vizuri.
momentoftruth said: Mkuu tafadhali hebu rudia tena kusoma ulichokiandika labda utatuomba radhi, maana kwa mawazo hayo sidhani kama unaufahamu mpira vizuri. Click to expand... Sijapata kutoa kauli yoyote ile, popote pale, kwamba ninaufahamu mpira vizuri. Hilo haliniziwii kutoa maoni na mawazo yangu mbele ya wengine, mkiwamo nyinyi mnaoufahamu mpira vizuri.