Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

hili goli kiukweli si la kulilipia mia 500 kibanda umiza ni kudharirisha vitu classic

imenibidi kumuongeza mwenye kibanda umiza 9500 kulillipia hili goli. yaani nilizoea yaona kwenye tv cr7, balle, rooney leo nimelishuhudia na tz
 
Yanga kwa kujinadi ufala nawahesabia masiku tu nazani mmebakisha mechi nne kama sio tano za dsm muanze kuenda machinjioni
 
Yanga kwa kujinadi ufala nawahesabia masiku tu nazani mmebakisha mechi nne kama sio tano za dsm muanze kuenda machinjioni
hahaahaha na huko nje ya dar tukishinda utarudi kusema nasubiri mkitoka kimataifa muone mtakavyo pingwa.

kifupi yanga utasubiri sana, huko nje tutawapiga kama tupo taifa tu.
 
hahaahaha na huko nje ya dar tukishinda utarudi kusema nasubiri mkitoka kimataifa muone mtakavyo pingwa.

kifupi yanga utasubiri sana, huko nje tutawapiga kama tupo taifa tu.
...Yanga gani ile iliyoparanganyika ilipocheza na Simba juzi. Utamu wa ligi mtauona mikoani.
 
Hakuna kitu... Wabongo ndio zenu wazee wa kusifia....

Mpira unaambaa ambaa juu kajiandaa umefika kapiga...

Bora ingekuwa kuanganisha cross direct....

Sa eti kainuliwa mpira kapiga... Basi masiiiiifa kibao....

Goal zuuri ila mkopo hauchukulii.... Labda vikoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…