wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,142
- 2,947
Hahaaa mkuu haki ya nani kagere akipiga hivyo basi itakuwa mwisho wake wa kuchezaulitaka awe na kagere ndo goli liwe kali, ajibu ni dunia nyingine huwezi mfananisha na kagere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa mkuu haki ya nani kagere akipiga hivyo basi itakuwa mwisho wake wa kuchezaulitaka awe na kagere ndo goli liwe kali, ajibu ni dunia nyingine huwezi mfananisha na kagere
hahahahahaa hana uwezo huo, uwezo aliobaki nao ni kupiga makofi uwanja tuHahaaa mkuu haki ya nani kagere akipiga hivyo basi itakuwa mwisho wake wa kucheza
Simba mbona alishindwa kuifunga yanga iliyoparanganyika, au wenzetu ushindi wenu ni kupiga chenga na pasi bila kufunga, ongezeni juhudi mtapata tuzo ya kupiga pasi na chenga...Yanga gani ile iliyoparanganyika ilipocheza na Simba juzi. Utamu wa ligi mtauona mikoani.
Hakuna kitu... Wabongo ndio zenu wazee wa kusifia....
Mpira unaambaa ambaa juu kajiandaa umefika kapiga...
Bora ingekuwa kuanganisha cross direct....
Sa eti kainuliwa mpira kapiga... Basi masiiiiifa kibao....
Goal zuuri ila mkopo hauchukulii.... Labda vikoba.
Unafikiri Kagere hapendi kuinuliwa mpira halafu akapiga? Tatizo kiwango.Hakuna kitu... Wabongo ndio zenu wazee wa kusifia....
Mpira unaambaa ambaa juu kajiandaa umefika kapiga...
Bora ingekuwa kuanganisha cross direct....
Sa eti kainuliwa mpira kapiga... Basi masiiiiifa kibao....
Goal zuuri ila mkopo hauchukulii.... Labda vikoba.
Nilijua swezi kukukosa hapa.Hahaaaa. Ngoja waje na povu Mkuu.
Simba mbona alishindwa kuifunga yanga iliyoparanganyika, au wenzetu ushindi wenu ni kupiga chenga na pasi bila kufunga, ongezeni juhudi mtapata tuzo ya kupiga pasi na chenga
Kufunga kwanjia ya kona nikawaida au sio magori ya tikitaka kila uchao yana tokeamkuu hapa tunazungumzia vitu adimu na adhimu katika SOKA wewe unazungumzia tukio la kawaida sana tena sio kwenye soka ni kwenye KABUMBU
NB:YANGA, PSG,BARCA,MANCITY,LIVA hawa wanacheza SOKA huku simba, leopard,apr,zesco hawa wanacheza KABUMBU
Awe anazipiga na kwenye match za simba vs yangaNyumbu fc, mikia fc wanaweweseka
Kwa hiyo Simba na Gor mahia na wale Makirikiri ndio wanacheza kabumbu?... punguza maneno eti PSG ... Omba omba bhana.mkuu hapa tunazungumzia vitu adimu na adhimu katika SOKA wewe unazungumzia tukio la kawaida sana tena sio kwenye soka ni kwenye KABUMBU
NB:YANGA, PSG,BARCA,MANCITY,LIVA hawa wanacheza SOKA huku simba, leopard,apr,zesco hawa wanacheza KABUMBU
Hata msimu uliopita mlicheza mikoani, nakumbuka mlicheza na Mbao mechi mbili pale Kirumba, matokeo nadhani unayajua.Kwani yanga haijawahi kucheza mikoani tangu dunia ianze?
Hizo bilioni ulaya wananunua wachezaji wawili tu na ndio maana mpira wao upo juu.Hiyo hiyo mkuu, imeparaganyika na bado ika suluhu na kikosi cha bil. 1 sijui ikitengemaa unategemea nini? haya ni maneno tu huko mikoani tunateleza tu na mtakuja sema subiri mkienda club bingwa/shirikisho
Kwetu sisi alikuwa sub kwenu ni mchezaji bora so far, thats the difference between the clubs.Gol safi sana nile wana msimbazi kubalini tu kwa Ajib yanga alilamba dume.
mkuu hapa tunazungumzia vitu adimu na adhimu katika SOKA wewe unazungumzia tukio la kawaida sana tena sio kwenye soka ni kwenye KABUMBU
NB:YANGA, PSG,BARCA,MANCITY,LIVA hawa wanacheza SOKA huku simba, leopard,apr,zesco hawa wanacheza KABUMBU