Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

...Yanga gani ile iliyoparanganyika ilipocheza na Simba juzi. Utamu wa ligi mtauona mikoani.
Simba mbona alishindwa kuifunga yanga iliyoparanganyika, au wenzetu ushindi wenu ni kupiga chenga na pasi bila kufunga, ongezeni juhudi mtapata tuzo ya kupiga pasi na chenga
 
Hakuna kitu... Wabongo ndio zenu wazee wa kusifia....

Mpira unaambaa ambaa juu kajiandaa umefika kapiga...

Bora ingekuwa kuanganisha cross direct....

Sa eti kainuliwa mpira kapiga... Basi masiiiiifa kibao....

Goal zuuri ila mkopo hauchukulii.... Labda vikoba.

Mkuu kama umeshawahi kucheza mpira kiroho safi kubali tu matokeo kwamba goli ni zuri!!
 
Hakuna kitu... Wabongo ndio zenu wazee wa kusifia....

Mpira unaambaa ambaa juu kajiandaa umefika kapiga...

Bora ingekuwa kuanganisha cross direct....

Sa eti kainuliwa mpira kapiga... Basi masiiiiifa kibao....

Goal zuuri ila mkopo hauchukulii.... Labda vikoba.
Unafikiri Kagere hapendi kuinuliwa mpira halafu akapiga? Tatizo kiwango.
 
Bottom line ni kuwa Ajib hawezi kuonekana kwenye mechi yenye ushindani, ndio maana Simba alikuwa mchezaji wa sub, na taifa kaachwa.
Simba mbona alishindwa kuifunga yanga iliyoparanganyika, au wenzetu ushindi wenu ni kupiga chenga na pasi bila kufunga, ongezeni juhudi mtapata tuzo ya kupiga pasi na chenga
 
mkuu hapa tunazungumzia vitu adimu na adhimu katika SOKA wewe unazungumzia tukio la kawaida sana tena sio kwenye soka ni kwenye KABUMBU

NB:YANGA, PSG,BARCA,MANCITY,LIVA hawa wanacheza SOKA huku simba, leopard,apr,zesco hawa wanacheza KABUMBU
Kufunga kwanjia ya kona nikawaida au sio magori ya tikitaka kila uchao yana tokea
 
mkuu hapa tunazungumzia vitu adimu na adhimu katika SOKA wewe unazungumzia tukio la kawaida sana tena sio kwenye soka ni kwenye KABUMBU

NB:YANGA, PSG,BARCA,MANCITY,LIVA hawa wanacheza SOKA huku simba, leopard,apr,zesco hawa wanacheza KABUMBU
Kwa hiyo Simba na Gor mahia na wale Makirikiri ndio wanacheza kabumbu?... punguza maneno eti PSG ... Omba omba bhana.
 
Hiyo hiyo mkuu, imeparaganyika na bado ika suluhu na kikosi cha bil. 1 sijui ikitengemaa unategemea nini? haya ni maneno tu huko mikoani tunateleza tu na mtakuja sema subiri mkienda club bingwa/shirikisho
Hizo bilioni ulaya wananunua wachezaji wawili tu na ndio maana mpira wao upo juu.
 
Gol safi sana nile wana msimbazi kubalini tu kwa Ajib yanga alilamba dume.
Kwetu sisi alikuwa sub kwenu ni mchezaji bora so far, thats the difference between the clubs.
 
Soka ni kupaki semi mbili kuanzia dk ya kwanza mpaka mwisho.

Back
Top Bottom