Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 851
Kuna watu wanatamani hata kusema 'Mbao ni timu nyepesi sana' lakini kwa kuwa ubongo haujafa kabisa, wanajua nini maana ya kujifedhehesha...πππIla alikuwa free sana
Utupe neno japo kidogo juu ya ubora wa lile goli la ajibu karibuOya Kulikoni? Unawashwawashwa nami?
Nafikiri hapaswi kupuuzwa, yupo sahihi kabisa!Yanga Bhana wanadhambi Sana. Kuna jamaa Huku kitaani kwetu anasema Lile goli Kagere akijaribu kupiga lazima ajambe kabisa
Nasikia pia litatumika kama zawadi kwa atawezesha upatikanaji wa hans popeIla alikuwa free sana
Utupe neno japo kidogo juu ya ubora wa lile goli la ajibu karibu
Lile goli litakuwa lilikuridhisha na kukufurahisha sanaMwambie Ajib akupige Kwanza Wewe hilo Bao kisha likishakuingia vilivyo nitakuja Kukuhoji unipe maoni yako lilikuwaje.
πππ ww jamaa weweAjibu atamfanya kagere apige tik tak hata kama ni penati.
soka ni kuchukua pointi 3 kinamna yoyote ile mambo ya pasi yanamgharimu baka sasa iviSoka ni kupaki semi mbili kuanzia dk ya kwanza mpaka mwisho.
soka ni kuchukua pointi 3 kinamna yoyote ile mambo ya pasi yanamgharimu baka sasa ivi
Dunia nyingne hata timu ya taifa lake hana nafasi tena nchi yenyewe Tanzania kweli kuna mchezaji?ulitaka awe na kagere ndo goli liwe kali, ajibu ni dunia nyingine huwezi mfananisha na kagere
Kitu cha ziada kipi angekuwa anashindwa trials kila akienda kujaribu tena hapa afrika tuAjibu anakitu cha ziada ila waTz tunapenda kumsifia mtu akiwa hatupo naye tena duniani
Hahahaa. Nakosaje jamaani mie Yanga lia lia.Nilijua swezi kukukosa hapa.
Hujambo lakini?
Mkuu ukitegemea Ajibu acheze vipi pale na kocha aliingia na mfumo wa kujilinda?!Bottom line ni kuwa Ajib hawezi kuonekana kwenye mechi yenye ushindani, ndio maana Simba alikuwa mchezaji wa sub, na taifa kaachwa.