Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Hahahaaa watu wengine bana basi tu, thread imeanzishwa ya Mfalme, sasa imekuwa ya Ibra. Hawa ni team ronaldo, wameona hana chochote cha kuwavutia wakaamua kumshobokea ibra😛😛
Kati ya watu wenye magoli murua adi Timu pinzani inalishangilia basi ibrahimovic huwezi muacha,.. nayakubali magoli yakes mnoZlatan ilo goli n balaaaaaaaaaaaa
Hahahaaa watu wengine bana basi tu, thread imeanzishwa ya Mfalme, sasa imekuwa ya Ibra. Hawa ni team ronaldo, wameona hana chochote cha kuwavutia wakaamua kumshobokea ibra😛😛
Yani huyu jamaa hakunaga[emoji1] [emoji1]
Cc : haters
Simjiandike majina kuwa huyo ni king wenu!!?Huyu jamaa noma aise, vitu anavyovifanya ni adimu mno 4 any player ,
Kuna baadhi ya wabongo wasiojua mpira na maranyingi utawakuta kwenye kahawa wanadanganyana eti "aise ronado anatisha bana messi hamna kitu" alaf hapo hapo anapachikwa eti ufalme hahahahaa wabongo bana mtihani kwelikweli..wakati mataifa ya nje hawamtambui kihivyo,na mimi ni mfatiliaji mkubwa wa comments za wadau wa nje na sijaona wakimuita mfalme wala mchawi hahahahaaa.
Hapo ndio mutambue hicho kifaa ni muhimu sana ulimwenguni kote, na sio huyo choka mbaya anaetumia nguvu uwanjani huwa namfananisha na gaucho wakiwa uwanjani hawana lolote.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenifurahisha sana mkuu.Yaan ina bidi Jf waweke kitufe cha dislike asee
Kwanza we jamaanuwa una jifanya una jua sana, halafu huwa unataka uwa wafanye wanaokupinga kama hawajui na wameanza kufuatilia mpira juz, una fanan na mtu mmoja umu jf anaitwa gentcymine(wote mna pretend mnajua)
Halafu unapenda mawazo yako kila mtu ayakubali
Watu kama wewe tuna waita Ronald butthurt haters.
Swadaktaaaa mkuu najua wanaumia sana ila sindano imeingia penyewe.Kuna baadhi ya wabongo wasiojua mpira na maranyingi utawakuta kwenye kahawa wanadanganyana eti "aise ronado anatisha bana messi hamna kitu" alaf hapo hapo anapachikwa eti ufalme hahahahaa wabongo bana mtihani kwelikweli..wakati mataifa ya nje hawamtambui kihivyo,na mimi ni mfatiliaji mkubwa wa comments za wadau wa nje na sijaona wakimuita mfalme wala mchawi hahahahaaa.lkn mfalme anatambulika kotekote south american,North American,europe,Asia na Africa,mwisho FIFA wakasema"Huyu ndie mfalme haswaa kuwahi kutokea the Leo 10s After Diego 10s na wote ni waajentina pasukeni sasa na ikibidi jipigeni ukutani, na atakuja mwingine after Ze 10th Century from Argentina.
Maamuzi ya Messi yamewafanya mashabiki wengi wa Bara la Amerika Kusini na mataifa mengine kutokwa na machozi ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali akiwemo raisi wa Argentina akimuomba Messi abatilishe maamuzi yake na kurejea uwanjani kuitumikia timu ya taifa.
Hata hivyo Maradona ambaye alishinda kombe la Dunia akiwa na Argentina mwaka 1986 amesisitiza kuwa watu wanapaswa kumuacha Mfalme kwa wakati huu.
"Mfalme anatuambia kuacha kuusema mpira wake," Maradona.
"hii ni sawa na Mfalme kutuambia kwamba anakwenda mapumziko, niacheni na wakati mtakaponiita nitafikiria. Sitaki kulizungumzia hili zaidi'. Anasema Maradona
Hapo ndio mutambue hicho kifaa ni muhimu sana ulimwenguni kote, na sio huyo choka mbaya anaetumia nguvu uwanjani huwa namfananisha na gaucho wakiwa uwanjani hawana lolote.
Yaani fact zikikosekana basi mimi uanaume wangu unaisha??? unamiaka mingapi wewe au akili zako hazina akili?Usimhukumu mtu ilihali yeye si shoga, haya kama wewe ni kidume kweli naomba facts kama yeye ni gay!
Hajaongea facts ametoa madai tuu, na kujifanya yeye ana faham zaid[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenifurahisha sana mkuu.
Sio kwamba anajifanya anajua ila ni kweli anaujua mpira na mawazo yake sikuzote yapo sawia na anaongea kwa fact sasa wewe unampinga kwa taarabu(sorry) NA SIJAONA LA UONGO ALILOONGOPA HVYO TUNAMPA [emoji817] [emoji736] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
VIVA Barcelona
HahahYaani fact zikikosekana basi mimi uanaume wangu unaisha??? unamiaka mingapi wewe au akili zako hazina akili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo mwisho umenifurahisha sana ila mtoto kama umemwambia 1+1 ni ngapi akakujibu 10 hvyo mojakwamoja unatambua kuwa huyu hajui hata kama atalazmisha jibu ni 10Hajaongea facts ametoa madai tuu, na kujifanya yeye ana faham zaid
Sasa unamjibu fact zipi!!?
Mimi ndo nlikuwa namwambia aache taarabu, atulize mzuka
Labda useme nimefanya hip hop
Messi ana weza kiwa bora kwakwe
Ronaldo ni bora kwangu, sijawahi kuwaita mashabiki wa Messi hawajui mpira hata sku moja, uwa tuna bishana tuna tawanyika.
Kwa mfano wewe najua hujui mpira unaijua Barca na messi tuu ila sja wahi kukwambia hilo tukibishana(kinda joke)
Mkuu hizi ndio Fact za kuthibitisha King ni shoga[emoji1] [emoji1]Pele: 'I was better than Lionel Messi, Ronaldo'
[emoji767] Getty Images
By Shane Callaghan, Reporter
Filed: Saturday, October 24, 2015 at 01:18 UK
Last Updated: Saturday, October 24, 2015 at 09:21 UK
Brazil icon Pele has acknowledged that Lionel Messi and Cristiano Ronaldo are the best of their generation, but has stressed that he was better than both.
The Barcelona and Real Madrid superstars have dominated the individual awards since their emergence, with nobody else winning the Ballon d'Or for the last eight years.
The Argentine and Portuguese pair scored 126 goals for club and country last season, but when asked if they are on a par with him in his heyday, the 75-year-old told Marca: "Please forgive my lack of modesty, but I've never seen a player as good as Pele was in 1970.
"In my honest opinion, I think that every player has his era and, right now, Leo [Messi] and [Cristiano] Ronaldo are the best.
"I think that Messi is an example of determination and perseverance. He didn't have it easy when he was young. [Ronaldo] is an outstanding goalscorer, he just never stops. I admire that in him."
Kaka, in 2007, was the last player apart from Messi or Ronaldo to win the Ballon d'Or.
Football
Roberto Carlos: 'Cristiano Ronaldo better than Lionel Messi'
[emoji767] Getty Images
By Matt Law, European Football Editor
Filed: Monday, October 26, 2015 at 17:38 UK
Last Updated: Tuesday, October 27, 2015 at 17:34 UK
Former Real Madrid defender Roberto Carlos has claimed that Cristiano Ronaldo has more of an impact on the Los Blancos side than Lionel Messi has for Barcelona.
Carlos, who also revealed that he thinks Neymar is currently the best player in the world, has said that Ronaldo is "more decisive" in his club team than Messi is for the Catalan outfit.
"Messi is phenomenal but in my opinion, Cristiano is a special player because he does everything for Madrid," Carlos told Globoesporte.
"It is not that Madrid do not have others – [Toni] Kroos, Marcelo - but I think Cristiano is more decisive in Real Madrid than Messi in Barcelona.
"Messi plays with Neymar, [Luis] Suarez, [Andres] Iniesta, [Sergio] Busquets, while Cristiano starts to fight, assist and score from the front. He is a special player."
Ronaldo became Real Madrid's all-time leading scorer earlier this month and has now netted 325 goals in 312 appearances for the Spanish giants.
Mkuu usiumie na hao wenye akili za watoto cheka nao tu baadae watajitambua... la Muhimu wasipotoshe watuHajaongea facts ametoa madai tuu, na kujifanya yeye ana faham zaid
Sasa unamjibu fact zipi!!?
Mimi ndo nlikuwa namwambia aache taarabu, atulize mzuka
Labda useme nimefanya hip hop
Messi ana weza kiwa bora kwakwe
Ronaldo ni bora kwangu, sijawahi kuwaita mashabiki wa Messi hawajui mpira hata sku moja, uwa tuna bishana tuna tawanyika.
Kwa mfano wewe najua hujui mpira unaijua Barca na messi tuu ila sja wahi kukwambia hilo tukibishana(kinda joke)
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo mwisho umenifurahisha sana ila mtoto kama umemwambia 1+1 ni ngapi akakujibu 10 hvyo mojakwamoja unatambua kuwa huyu hajui hata kama atalazmisha jibu ni 10
Hvyo wewe una mahaba maana mapenz yepitiliza
FACT UMEPEWA MFANO KAKUPA WA MARADONA ila unajifanya huoni