Goli la faulo la Mfalme la zaidi ya mita 20 na assist yake ya tiki-taka dhidi ya Sampdoria

Hahahaaa watu wengine bana basi tu, thread imeanzishwa ya Mfalme, sasa imekuwa ya Ibra. Hawa ni team ronaldo, wameona hana chochote cha kuwavutia wakaamua kumshobokea ibra😛😛

Ronaldo ana mafanikio makubwa ya kimataifa kuliko huyo mfalme wa eskimo...

Hah hah hah hah hah
 
Ishu ya Messi King of baikije na Cr7 king of buyeo
hainaga tamati,.. hata historia kwa present vitapiga mjadala so far kila mtu anarekodi zake na ubora wake",..!! Vinavyofuata ni mhemko tu wa kisoka...

huwezi mfanya Fergie aamini Messi ni zaidi ya Ronaldo
vivyo hivyo kwa Guardiola kwa Cr7 zaidi ya Messi hii kitu ina inawayawaya tyu",..!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuna baadhi ya wabongo wasiojua mpira na maranyingi utawakuta kwenye kahawa wanadanganyana eti "aise ronado anatisha bana messi hamna kitu" alaf hapo hapo anapachikwa eti ufalme hahahahaa wabongo bana mtihani kwelikweli..wakati mataifa ya nje hawamtambui kihivyo,na mimi ni mfatiliaji mkubwa wa comments za wadau wa nje na sijaona wakimuita mfalme wala mchawi hahahahaaa.lkn mfalme anatambulika kotekote south american,North American,europe,Asia na Africa,mwisho FIFA wakasema"Huyu ndie mfalme haswaa kuwahi kutokea the Leo 10s After Diego 10s na wote ni waajentina pasukeni sasa na ikibidi jipigeni ukutani, na atakuja mwingine after Ze 10th Century from Argentina.

Maamuzi ya Messi yamewafanya mashabiki wengi wa Bara la Amerika Kusini na mataifa mengine kutokwa na machozi ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali akiwemo raisi wa Argentina akimuomba Messi abatilishe maamuzi yake na kurejea uwanjani kuitumikia timu ya taifa.

Hata hivyo Maradona ambaye alishinda kombe la Dunia akiwa na Argentina mwaka 1986 amesisitiza kuwa watu wanapaswa kumuacha Mfalme kwa wakati huu.

"Mfalme anatuambia kuacha kuusema mpira wake," Maradona.

"hii ni sawa na Mfalme kutuambia kwamba anakwenda mapumziko, niacheni na wakati mtakaponiita nitafikiria. Sitaki kulizungumzia hili zaidi'. Anasema Maradona

Hapo ndio mutambue hicho kifaa ni muhimu sana ulimwenguni kote, na sio huyo choka mbaya anaetumia nguvu uwanjani huwa namfananisha na gaucho wakiwa uwanjani hawana lolote.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuna baadhi ya wabongo wasiojua mpira na maranyingi utawakuta kwenye kahawa wanadanganyana eti "aise ronado anatisha bana messi hamna kitu" alaf hapo hapo anapachikwa eti ufalme hahahahaa wabongo bana mtihani kwelikweli..wakati mataifa ya nje hawamtambui kihivyo,na mimi ni mfatiliaji mkubwa wa comments za wadau wa nje na sijaona wakimuita mfalme wala mchawi hahahahaaa.

Hapo ndio mutambue hicho kifaa ni muhimu sana ulimwenguni kote, na sio huyo choka mbaya anaetumia nguvu uwanjani huwa namfananisha na gaucho wakiwa uwanjani hawana lolote.

Yaan ina bidi Jf waweke kitufe cha dislike asee
Kwanza we jamaanuwa una jifanya una jua sana, halafu huwa unataka uwa wafanye wanaokupinga kama hawajui na wameanza kufuatilia mpira juz, una fanan na mtu mmoja umu jf anaitwa gentcymine(wote mna pretend mnajua)

Halafu unapenda mawazo yako kila mtu ayakubali

Watu kama wewe tuna waita Ronald butthurt haters.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Cristiano Ronaldo is better than Lionel Messi... but there is a lack of legends playing today, laments Brazil star Pele
  • Pele is quick to assert that Cristiano Ronaldo is the No 1 player in the world
  • Brazil icon says debate is only between the Portuguese and Lionel Messi
  • 75-year-old believes lack of competition for the crown is sad for football
  • Pele names Bale and Neymar but says the modern game needs more stars
By Sam Cunningham for the Daily Mail

Published: 22:24 GMT, 13 June 2016 | Updated: 11:11 GMT, 14 June 2016
 
Yaan ina bidi Jf waweke kitufe cha dislike asee
Kwanza we jamaanuwa una jifanya una jua sana, halafu huwa unataka uwa wafanye wanaokupinga kama hawajui na wameanza kufuatilia mpira juz, una fanan na mtu mmoja umu jf anaitwa gentcymine(wote mna pretend mnajua)

Halafu unapenda mawazo yako kila mtu ayakubali

Watu kama wewe tuna waita Ronald butthurt haters.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenifurahisha sana mkuu.

Sio kwamba anajifanya anajua ila ni kweli anaujua mpira na mawazo yake sikuzote yapo sawia na anaongea kwa fact sasa wewe unampinga kwa taarabu(sorry) NA SIJAONA LA UONGO ALILOONGOPA HVYO TUNAMPA [emoji817] [emoji736] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]

VIVA Barcelona
 
Kuna baadhi ya wabongo wasiojua mpira na maranyingi utawakuta kwenye kahawa wanadanganyana eti "aise ronado anatisha bana messi hamna kitu" alaf hapo hapo anapachikwa eti ufalme hahahahaa wabongo bana mtihani kwelikweli..wakati mataifa ya nje hawamtambui kihivyo,na mimi ni mfatiliaji mkubwa wa comments za wadau wa nje na sijaona wakimuita mfalme wala mchawi hahahahaaa.lkn mfalme anatambulika kotekote south american,North American,europe,Asia na Africa,mwisho FIFA wakasema"Huyu ndie mfalme haswaa kuwahi kutokea the Leo 10s After Diego 10s na wote ni waajentina pasukeni sasa na ikibidi jipigeni ukutani, na atakuja mwingine after Ze 10th Century from Argentina.

Maamuzi ya Messi yamewafanya mashabiki wengi wa Bara la Amerika Kusini na mataifa mengine kutokwa na machozi ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali akiwemo raisi wa Argentina akimuomba Messi abatilishe maamuzi yake na kurejea uwanjani kuitumikia timu ya taifa.

Hata hivyo Maradona ambaye alishinda kombe la Dunia akiwa na Argentina mwaka 1986 amesisitiza kuwa watu wanapaswa kumuacha Mfalme kwa wakati huu.

"Mfalme anatuambia kuacha kuusema mpira wake," Maradona.

"hii ni sawa na Mfalme kutuambia kwamba anakwenda mapumziko, niacheni na wakati mtakaponiita nitafikiria. Sitaki kulizungumzia hili zaidi'. Anasema Maradona

Hapo ndio mutambue hicho kifaa ni muhimu sana ulimwenguni kote, na sio huyo choka mbaya anaetumia nguvu uwanjani huwa namfananisha na gaucho wakiwa uwanjani hawana lolote.
Swadaktaaaa mkuu najua wanaumia sana ila sindano imeingia penyewe.

King Messi
 
Usimhukumu mtu ilihali yeye si shoga, haya kama wewe ni kidume kweli naomba facts kama yeye ni gay!
Yaani fact zikikosekana basi mimi uanaume wangu unaisha??? unamiaka mingapi wewe au akili zako hazina akili?
 
Pele: 'I was better than Lionel Messi, Ronaldo'
pele.jpg

© Getty Images
By Shane Callaghan, Reporter
Filed: Saturday, October 24, 2015 at 01:18 UK
Last Updated: Saturday, October 24, 2015 at 09:21 UK
Brazil icon Pele has acknowledged that Lionel Messi and Cristiano Ronaldo are the best of their generation, but has stressed that he was better than both.

The Barcelona and Real Madrid superstars have dominated the individual awards since their emergence, with nobody else winning the Ballon d'Or for the last eight years.

The Argentine and Portuguese pair scored 126 goals for club and country last season, but when asked if they are on a par with him in his heyday, the 75-year-old told Marca: "Please forgive my lack of modesty, but I've never seen a player as good as Pele was in 1970.

"In my honest opinion, I think that every player has his era and, right now, Leo [Messi] and [Cristiano] Ronaldo are the best.

"I think that Messi is an example of determination and perseverance. He didn't have it easy when he was young. [Ronaldo] is an outstanding goalscorer, he just never stops. I admire that in him."

Kaka, in 2007, was the last player apart from Messi or Ronaldo to win the Ballon d'Or.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenifurahisha sana mkuu.

Sio kwamba anajifanya anajua ila ni kweli anaujua mpira na mawazo yake sikuzote yapo sawia na anaongea kwa fact sasa wewe unampinga kwa taarabu(sorry) NA SIJAONA LA UONGO ALILOONGOPA HVYO TUNAMPA [emoji817] [emoji736] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]

VIVA Barcelona
Hajaongea facts ametoa madai tuu, na kujifanya yeye ana faham zaid
Sasa unamjibu fact zipi!!?

Mimi ndo nlikuwa namwambia aache taarabu, atulize mzuka
Labda useme nimefanya hip hop

Messi ana weza kiwa bora kwakwe
Ronaldo ni bora kwangu, sijawahi kuwaita mashabiki wa Messi hawajui mpira hata sku moja, uwa tuna bishana tuna tawanyika.
Kwa mfano wewe najua hujui mpira unaijua Barca na messi tuu ila sja wahi kukwambia hilo tukibishana(kinda joke)
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Football
Roberto Carlos: 'Cristiano Ronaldo better than Lionel Messi'
lionel-messi-cristiano-ronaldo.jpg

© Getty Images
By Matt Law, European Football Editor
Filed: Monday, October 26, 2015 at 17:38 UK
Last Updated: Tuesday, October 27, 2015 at 17:34 UK
Former Real Madrid defender Roberto Carlos has claimed that Cristiano Ronaldo has more of an impact on the Los Blancos side than Lionel Messi has for Barcelona.

Carlos, who also revealed that he thinks Neymar is currently the best player in the world, has said that Ronaldo is "more decisive" in his club team than Messi is for the Catalan outfit.

"Messi is phenomenal but in my opinion, Cristiano is a special player because he does everything for Madrid," Carlos told Globoesporte.

"It is not that Madrid do not have others – [Toni] Kroos, Marcelo - but I think Cristiano is more decisive in Real Madrid than Messi in Barcelona.

"Messi plays with Neymar, [Luis] Suarez, [Andres] Iniesta, [Sergio] Busquets, while Cristiano starts to fight, assist and score from the front. He is a special player."

Ronaldo became Real Madrid's all-time leading scorer earlier this month and has now netted 325 goals in 312 appearances for the Spanish giants.
 
Yaani fact zikikosekana basi mimi uanaume wangu unaisha??? unamiaka mingapi wewe au akili zako hazina akili?
Hahah
Mkuu hawa madogo ni watu flani hivi ambao haitakiwi kuwachekea
Wana jukwaa lao la barcelona bdio wakajazane ujinga huo
 
Hajaongea facts ametoa madai tuu, na kujifanya yeye ana faham zaid
Sasa unamjibu fact zipi!!?

Mimi ndo nlikuwa namwambia aache taarabu, atulize mzuka
Labda useme nimefanya hip hop

Messi ana weza kiwa bora kwakwe
Ronaldo ni bora kwangu, sijawahi kuwaita mashabiki wa Messi hawajui mpira hata sku moja, uwa tuna bishana tuna tawanyika.
Kwa mfano wewe najua hujui mpira unaijua Barca na messi tuu ila sja wahi kukwambia hilo tukibishana(kinda joke)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo mwisho umenifurahisha sana ila mtoto kama umemwambia 1+1 ni ngapi akakujibu 10 hvyo mojakwamoja unatambua kuwa huyu hajui hata kama atalazmisha jibu ni 10

Hvyo wewe una mahaba maana mapenz yepitiliza

FACT UMEPEWA MFANO KAKUPA WA MARADONA ila unajifanya huoni
 
Pele: 'I was better than Lionel Messi, Ronaldo'
pele.jpg

[emoji767] Getty Images
By Shane Callaghan, Reporter
Filed: Saturday, October 24, 2015 at 01:18 UK
Last Updated: Saturday, October 24, 2015 at 09:21 UK
Brazil icon Pele has acknowledged that Lionel Messi and Cristiano Ronaldo are the best of their generation, but has stressed that he was better than both.

The Barcelona and Real Madrid superstars have dominated the individual awards since their emergence, with nobody else winning the Ballon d'Or for the last eight years.

The Argentine and Portuguese pair scored 126 goals for club and country last season, but when asked if they are on a par with him in his heyday, the 75-year-old told Marca: "Please forgive my lack of modesty, but I've never seen a player as good as Pele was in 1970.

"In my honest opinion, I think that every player has his era and, right now, Leo [Messi] and [Cristiano] Ronaldo are the best.

"I think that Messi is an example of determination and perseverance. He didn't have it easy when he was young. [Ronaldo] is an outstanding goalscorer, he just never stops. I admire that in him."

Kaka, in 2007, was the last player apart from Messi or Ronaldo to win the Ballon d'Or.
Mkuu hizi ndio Fact za kuthibitisha King ni shoga[emoji1] [emoji1]

MCHEZO HUU HAUHITAJI HASIRA
Football
Roberto Carlos: 'Cristiano Ronaldo better than Lionel Messi'
lionel-messi-cristiano-ronaldo.jpg

[emoji767] Getty Images
By Matt Law, European Football Editor
Filed: Monday, October 26, 2015 at 17:38 UK
Last Updated: Tuesday, October 27, 2015 at 17:34 UK
Former Real Madrid defender Roberto Carlos has claimed that Cristiano Ronaldo has more of an impact on the Los Blancos side than Lionel Messi has for Barcelona.

Carlos, who also revealed that he thinks Neymar is currently the best player in the world, has said that Ronaldo is "more decisive" in his club team than Messi is for the Catalan outfit.

"Messi is phenomenal but in my opinion, Cristiano is a special player because he does everything for Madrid," Carlos told Globoesporte.

"It is not that Madrid do not have others – [Toni] Kroos, Marcelo - but I think Cristiano is more decisive in Real Madrid than Messi in Barcelona.

"Messi plays with Neymar, [Luis] Suarez, [Andres] Iniesta, [Sergio] Busquets, while Cristiano starts to fight, assist and score from the front. He is a special player."

Ronaldo became Real Madrid's all-time leading scorer earlier this month and has now netted 325 goals in 312 appearances for the Spanish giants.
 
Hajaongea facts ametoa madai tuu, na kujifanya yeye ana faham zaid
Sasa unamjibu fact zipi!!?

Mimi ndo nlikuwa namwambia aache taarabu, atulize mzuka
Labda useme nimefanya hip hop

Messi ana weza kiwa bora kwakwe
Ronaldo ni bora kwangu, sijawahi kuwaita mashabiki wa Messi hawajui mpira hata sku moja, uwa tuna bishana tuna tawanyika.
Kwa mfano wewe najua hujui mpira unaijua Barca na messi tuu ila sja wahi kukwambia hilo tukibishana(kinda joke)
Mkuu usiumie na hao wenye akili za watoto cheka nao tu baadae watajitambua... la Muhimu wasipotoshe watu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo mwisho umenifurahisha sana ila mtoto kama umemwambia 1+1 ni ngapi akakujibu 10 hvyo mojakwamoja unatambua kuwa huyu hajui hata kama atalazmisha jibu ni 10

Hvyo wewe una mahaba maana mapenz yepitiliza

FACT UMEPEWA MFANO KAKUPA WA MARADONA ila unajifanya huoni
Hahahahaha

Mkuu tukisema tulete qutes za maradona kuhusu ronaldo uta shangaa
Au za maradona kuhusu messi ndo uta shangaa zaid

Haya nakupa mfano

Pele asked Maradona if he knew Messi personally to which the 1986 World Cup winner responded with a surprise reaction.

"He's a really good person, but he has no personality," Maradona said.
"He lacks [the] character to be a leader."

Pele responded: "Ah, I get it, he's not like we were back in the days. In the 70s we [Brazil] had really good players like Rivellino, Gerson, Tostao.

www.mirror.co.uk/.../diego-
maradona

Yaan wamefika hata stage ya kumfananisha na Rivellino!!!

Achen utani wakuu, halafu uyo jamaa yako uwa ana twist maana ya quotes nyingi tuu anazo zileta hapa sema mi uwa na mchek tuu
Mi nakupa na link ukaangalie mwenyewe pia walicho sema
 
Back
Top Bottom