Goli la faulo la Mfalme la zaidi ya mita 20 na assist yake ya tiki-taka dhidi ya Sampdoria

Soccer kwa style yako hii ya kusifia uongo wakati wenye record zao wapo wewe ni Shabiki Maandazi... Messi sikuhizi Shoga so kumpa Ufalme labda wa Ushoga... weka record zake ueleweke sio alichofanya MeSSi ni cha Kipekee pole Sana
[emoji45] [emoji45] nina mashaka na jinsia yako
 
rekodi zake sasa zinafika album
burudika na goli la mwendokasi na assist ya mwendokasi

shoga ni yule mwenye bwanana wa kimorocco
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchungu
 
Hahahaaa watu wengine bana basi tu, thread imeanzishwa ya Mfalme, sasa imekuwa ya Ibra. Hawa ni team ronaldo, wameona hana chochote cha kuwavutia wakaamua kumshobokea ibra😛😛
Vipi imekuuma nini?
 
[emoji45] [emoji45] nina mashaka na jinsia yako
Kama Una mashaka basi hata babako unamshaka nae yawezekana babako ni jirani yenu... Maana Ushavuka miaka 18 unakuwa mtu usiyejielewa wala kuelewa kitu wewe utakuwa unaishi kwa kuuliza uliza watu nini cha kufanya... kuwa straight... Vijana wa Sikuhizi hamjiamini hadi mnaitwa Wa Dar
 
rekodi zake sasa zinafika album
burudika na goli la mwendokasi na assist ya mwendokasi

shoga ni yule mwenye bwanana wa kimorocco
Kila mtu kaumbwa na Tabia zake kama MeSSi ana record zake hatukatai ila sio sasa kila anachofanya ati kipo juu ndio maana nasema kuna wengine ni Mashabiki Maandazi na ukiwaambia ukweli wanapanik heshima wanaiweka kando... nini manake hii
 
assist ya tik taka unaona ni jambo la kawaida ?
We kweli shabiki kitumbua
 
Vipi imekuuma nini?

Imeniuma nini sasa? Mbona unaongea ugoro bro..So nilichokiongea hspo ni uongo sasa? Huyo ibra anakitu gani cha kujivunia kwa mfalme huyo? Wakati kazidiwa mara 50, sasa hapo utawalinganishaje.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
assist ya tik taka unaona ni jambo la kawaida ?
We kweli shabiki kitumbua

Huyu jamaa huwa simuelewi hata kidogo, alaf sijui female or male? Anatujazia server vitu visivyokua na maana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama Una mashaka basi hata babako unamshaka nae yawezekana babako ni jirani yenu... Maana Ushavuka miaka 18 unakuwa mtu usiyejielewa wala kuelewa kitu wewe utakuwa unaishi kwa kuuliza uliza watu nini cha kufanya... kuwa straight... Vijana wa Sikuhizi hamjiamini hadi mnaitwa Wa Dar

Utaacha lini kutukana watu, ukishindwa hoja msaada wako ni matusi tu, siuombe msaada wakusaidie wenzako!!!jirekebishe bro..otherwise utasababisha thread muhimu kama hizi zifungiwe.
 
Sasa utamuitaje Messi shoga hali ya kuwa hana element za ushoga huoni wewe ndio mtoto sio riziki[emoji45]
 
Kila mtu kaumbwa na Tabia zake kama MeSSi ana record zake hatukatai ila sio sasa kila anachofanya ati kipo juu ndio maana nasema kuna wengine ni Mashabiki Maandazi na ukiwaambia ukweli wanapanik heshima wanaiweka kando... nini manake hii
Basi sawa shabiki kitumbua kwani ungekuwa na heshima usingemuita King shoga
 
Huyu jamaa huwa simuelewi hata kidogo, alaf sijui female or male? Anatujazia server vitu visivyokua na maana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipomwambia nina mashaka na jinsia yake akaanza kuropoka oooh cjui babangu hv mara vile
 
Utaacha lini kutukana watu, ukishindwa hoja msaada wako ni matusi tu, siuombe msaada wakusaidie wenzako!!!jirekebishe bro..otherwise utasababisha thread muhimu kama hizi zifungiwe.
Hawez changamoto huyo mshabiki wa 2010
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipomwambia nina mashaka na jinsia yake akaanza kuropoka oooh cjui babangu hv mara vile

Ndio kawaida yake😀. angalau tunampa somo ajirekebishe, na kumtambua mfalme ndie baba la soka kuwahi kutokea
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Soccer kwa style yako hii ya kusifia uongo wakati wenye record zao wapo wewe ni Shabiki Maandazi... Messi sikuhizi Shoga so kumpa Ufalme labda wa Ushoga... weka record zake ueleweke sio alichofanya MeSSi ni cha Kipekee pole Sana

Usimhukumu mtu ilihali yeye si shoga, haya kama wewe ni kidume kweli naomba facts kama yeye ni gay!
 
Mimi nafikir anamuelewa vema ila ubishi wake

Anamtambua sana tu, ila ubishi ndio umemjaa huyu kijana, na soon ubishi wake utaisha na atajiona mjinga...... "ah kumbe nilikua very stupid badala ya kutoa facts na kuweka chuki pending"
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom