Goli la Geita gold ni haramu

Jadili kuhusu goli la Geita gold
Simba na Yanga huwa wanapata penalty ambazo wapinzani wao ni nadra kuzipewa penalty za tukio la aina hiyo hiyo. Labda iwe clear sanaaa
 
Simba na Yanga huwa wanapata penalty ambazo wapinzani wao ni nadra kuzipewa penalty za tukio la aina hiyo hiyo. Labda iwe clear sanaaa
Hii naweza kukukubalia maana simba walipokuwa wanacheza na polisi,walipewa penati dakika ya 89.30 yaani imebaki sekunde 30 mpira uishe
 
Hii naweza kukukubalia maana simba walipokuwa wanacheza na polisi,walipewa penati dakika ya 89.30 yaani imebaki sekunde 30 mpira uishe
Ni kweli. Hata Tanga vs Coastal ,Beki wa Simba kwenye njano angefanya faul ile angeweza kuonywa tu kwa maneno
 
Haya buana! Jinga kweli
 
Marudio ya camera inaonyesha wazi aliunawa ule mpira alipokua anautoa nje..
 
Yaani wakati mwingine inashindwa kuelewa waamuzi wetu akili zao, goli limezaliwa baada ya faulo kubwa kuchezwa, mwamuzi kauchuna, isingekuwa juhudi za wachezaji wa Yanga kufanya shinikizo lililosababisha Geita Gold kuunawa mpira, basi ushindi ungekuwa umetengenezwa na mwamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…