Katika pitapita nimeona hili goli sikuamini limefungwa katika ligi za Tanzania na sio ulaya au kombe la dunia au champions league nikaona bora na wengine waone ambao hawajaona na coach kashasha Ameelezea vizuri kiufundi.
Magoli Kama haya ni kiwango cha zidane, del Piero, Totti,bale, pogba nk
Magoli Kama haya ni kiwango cha zidane, del Piero, Totti,bale, pogba nk