Goli la kwanza msimu NBC premier ni offside goal

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Tuweke takwimu sawa na safari ya vilio na mbiu dhidi ya marefa kutoka kwa mashabiki vianze
Goli alilofunga Ngushi dhidi ya Dodoma Jiji ni clear offside Sasa sijui tuendelee kubaki kwenye makosa ya kibinadam au hatua zianze kuchukuliwa dhidi ya Wala rushwa
 
Kwani VAR itatumika kwa baadhi ya mechi tu?

Maana ililetwa kwa mbwembwe na waziri mkuu alizundua kama sikosei.
 
Tuweke takwimu sawa na safari ya vilio na mbiu dhidi ya marefa kutoka kwa mashabiki vianze
Goli alilofunga Ngushi dhidi ya Dodoma Jiji ni clear offside Sasa sijui tuendelee kubaki kwenye makosa ya kibinadam au hatua zianze kuchukuliwa dhidi ya Wala rushwa
Weka sasa goli lenyewe tulione, sio kila mtu aliangalia
 
Tuweke takwimu sawa na safari ya vilio na mbiu dhidi ya marefa kutoka kwa mashabiki vianze
Goli alilofunga Ngushi dhidi ya Dodoma Jiji ni clear offside Sasa sijui tuendelee kubaki kwenye makosa ya kibinadam au hatua zianze kuchukuliwa dhidi ya Wala rushwa
Kuna VAR muda si mrefu tatizo litakwisha
 
var ya mtumba ile wataakam wamegundua haina internal storage na sehem ya kuweka external ni ya tofali kwa hyo wapeleka china ku-mode. na kwenye igridients wameandika not allowed to mode.
 
Back
Top Bottom