Goli la kwanza msimu NBC premier ni offside goal

Var haiwezi pelekwa Kigoma uwanja umejengwa kwa matofali ya kuchoma
Var haina maana kama itawekwa kwa Mkapa tu,halafu ule uwanja ni ziziem chama pendwa kwenye mioyo yenu wadanganyika,old trafford imejengwa na matofali ya kuchemshwa?
 
Kama ni uwanja wa chama mama chama pendwa alama ya afrika chama pekee Cha wapigania uhuru ambacho bado kipo madarakani kijani na njano fahari ya Tanzania na afrika chama chenye sura ya kitaifa basi var ipelekwe na ifungwe na Kigoma wanasema wamezima zoooooooote......malizia kada
 
HAHAHAAA!
 
Back
Top Bottom