kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ni vigumu kumshawishi mtu kuwa Simba, Azam, Yanga na Coastal wamefanya usajili msimu huu sio kwaajili ya kucheza na Tabora United kwenye ligi, kwakuwa nafasi zao walizoshika kwenye NBC league walijua mapema kwamba watakwenda kushiriki mashindano ya CAF 2024/25.
Namchukia kupita kiasi nikimsikia mtu akisema habari za tatizo la muunganiko wa wachezaji kwenye timu wakati mashindano ya CAF waliyajua na sasa tayari yamefika na yameshaanza kutimua vumbi. Kila mtu nchini kuanzia juu kabisa kwa raia namba moja hadi mkulima na mfugaji kijijini angetamani kuona na kusikia timu zetu zote zinafanya vizuri.
Visingizio vya viongozi na benchi la ufundi kwenye kikosi ni sababu za wao kuondolewa kwenye nafasi zao kama timu zao hazitafikia angalau hatua ya makundi kwa kisingizio chochote.
Soma Pia: Rais angeachana na kulipa goli la mama akajenga uwanja wenye michezo mingi kama Olympic
Ningeshauri goli la Mama lingeanzia hatua ya makundi badala ya hatua za awali kabisa ili kupunguza flukes na chance kwenye pesa za walipakodi.