Goli la Mama lingeazia hatua ya makundi mashindano ya CAF

Goli la Mama lingeazia hatua ya makundi mashindano ya CAF

Ninamaanisha vital'O sio level ya Yanga kiasi cha kushindwa kuifunga mwenyewe bila motisha ya goli la mama. Goli la mama litumike vema kama booster kwenye mechi ngumu kuanzia makundi.
Kabisa na ndio kinachofanyikaga duniani kote, motivation ya fedha itumike kwenye mechi ngumu tu... nakumbuka wachezaji wa PSG waliahidiwa kila mmoja kupewa kitita cha £700,000 endapo kama wangemfunga bayern Munich kwenye fainali ya Champions league mwaka 2020, kabla ya hapo hatua zingine zote walicheza bila booster yoyote ile walikuwa wanatimiza wajibu wao.
 
Back
Top Bottom