'Goli la Mama' ni siasa ziszofaa kwa taifa kama hili

'Goli la Mama' ni siasa ziszofaa kwa taifa kama hili

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Walimu, Manesi na Madaktari wanafanya kazi kwenye mazingira magumu lakini huwezi sikia eti Mama ameendaa motisha kwa ajili yao na kukabidhiwa hadharani

Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli?
 
Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli?
Utajibiwa kuwa mpira ni ajira, mpira ni diplomasia na mpira ni uchumi.

Lkn naungana na wewe kwamba kuna mambo ya muhimu zaidi yanayofaa kutazamwa kifedha kuliko magoli.
 
Back
Top Bottom