M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Nov 30, 2024 #1 Walimu, Manesi na Madaktari wanafanya kazi kwenye mazingira magumu lakini huwezi sikia eti Mama ameendaa motisha kwa ajili yao na kukabidhiwa hadharani Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli?
Walimu, Manesi na Madaktari wanafanya kazi kwenye mazingira magumu lakini huwezi sikia eti Mama ameendaa motisha kwa ajili yao na kukabidhiwa hadharani Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli?
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Nov 30, 2024 #2 Muuza Kangala said: Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli? Click to expand... Utajibiwa kuwa mpira ni ajira, mpira ni diplomasia na mpira ni uchumi. Lkn naungana na wewe kwamba kuna mambo ya muhimu zaidi yanayofaa kutazamwa kifedha kuliko magoli.
Muuza Kangala said: Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani kwa taifa letu mpaka mama awape mil 5 kwa kila goli? Click to expand... Utajibiwa kuwa mpira ni ajira, mpira ni diplomasia na mpira ni uchumi. Lkn naungana na wewe kwamba kuna mambo ya muhimu zaidi yanayofaa kutazamwa kifedha kuliko magoli.