Goli la Mayele goli bora CAFCC

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Goli alilofunga Mayele dhidi ya US Monastir katika moja ya mechi za CAFCC Limetinga na kuwa moja ya goli bora kuwahi kutokea CAFCC.

Tazama Link


Hongera Mayele.Hongera Young Africans SC.
 
Sisi Yanga tujitofautishe na Mbumbumbu fc kuhangaika na vitu vidogo. Mambo ya mchezaji wa wiki, goli la wiki tuwaachie mbumbumbu fc.

Kwa Sasa sio muda wa kusifiana Kwa vitu vidogo, Huu ni muda wa kuzungumzia makosa ya ki mbinu tuliyonayo na namna ya kuyarekebisha haraka.

Hatua tulizofikia hazikupi muda wa kukosea, wachezaji wanatakiwa wa focus kwenye namna ya kusaidiana kupunguza makosa.

Tushangilie vikombe si matukio ya wiki mojamoja au mwezi, Hivyo ndivyo wakubwa wanavyo ishi.y
 
Goli la Fiston Mayele wa Yanga SC alilofunga dhidi ya US Monastir kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) limetajwa kuwa Goli Bora la Wiki.

Mayele alifunga goli hilo Machi 19, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa na kuifanya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Monastir ya Tunisia.

#CAFCC
 
congo imefungwa na south sudan
 
Nyie si ndo mnakataga keki nyie kisa ambundo kapiga tobo mtu au???
 
hakuna ubaya kujipendekeza
 
Kama Taifa inatupasa kulaani mwaka ambao yanga ilianzishwa,, utopolo ni mzigo kwa Taifa..
Mzigo ni wewe na Makolokolo wenzio mliowahi kuokolewa na Yanga msishuke ligi kuu kucheza ligi daraja la pili na umejizima data kabisa kama vile hujui kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…