Goli la Mayele goli bora CAFCC

Hakuna chochote yanga anaweza kufanya ambacho mnyama simba hajawahi kufanya,,.. haya tuambieni goli bora kwenye mashindano gani?
Sakho lilikuwa goli bora la mashndano gani
 
Mchezaji mvivu huyo anasubiria chapati ashushie na maji
 
Mzigo ni wewe na Makolokolo wenzio mliowahi kuokolewa na Yanga msishuke ligi kuu kucheza ligi daraja la pili na umejizima data kabisa kama vile hujui kilichotokea.
Na wewe unakaa kabisa kijiweni unasikiliza stori za wanywa kahawa na unaamini,, style up mkuu
 
Yanga itungiwe mtaala, ifundishwe kwenye elimu ya msingi na secondary
 
Hivi wewe bogus utaweza vipi kujitofautisha na vitu vidogo ikiwa unashiriki kombe la watoto?

Hujawahi kuwa na akili.
 
Nilijua hamtaanzisha uzi...kweli nyie ni gongowazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…