Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Goli Bora huwa na mambo yafuatayo.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.