Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna mahali nimesema ni mafanikio? Mukwala kafunga goli bora sana.Makolo bhana.
Hili goli pia ni mafanikio yenu sawa na yale ya kufungua WhatsApp channel
😄Bora kivipi ,goli ni goli tuGoli Bora huwa na mambo yafuatayo.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
Ndugu mbumbumbu Goli Bora alitokani na hisia za mashabiki au timu iliyo fungaKuna mahali nimesema ni mafanikio? Mukwala kafunga goli bora sana.
Mpaka uwe unaliangalia lile goli kiweledi ndiyo utajua ubora wakeNdugu mbumbumbu Goli Bora alitokani na hisia za mashabiki au timu iliyo funga
Gori Bora ni Gori lililo fungwa kwa Sanaa iliyo tukuka ya mpira wa miguu.
Gori la Mukwala ni lakawaida na linaweza kufungwa ata na kibu kwakua mfungaji aliruka free hakukua na defender aliye msumbua.
Kama angekosa Gori ndio jambo ambalo linge shangaza, alichofanya ni kuruka na kuelekeza mpira golini.
WaaaahhhhhGoli Bora huwa na mambo yafuatayo.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
Kama uki liangalia kwa undani na fikra pevu, Lile Gori ubora wake unakuja kwakua limekwenda kutuliza Hali ya hewa pale Msimbazi.Mpaka uwe unaliangalia lile goli kiweledi ndiyo utajua ubora wake
Kafunga goli MUHIMU basi, zingine mbwembwe tu.Goli Bora huwa na mambo yafuatayo.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
Sokwe katulia ila CHURA sasaNgoja waje MASHUJAA na wapambe wake uone watakavyoponda
Ngoja Uto...wafike hapa .....patachimbikaGoli Bora huwa na mambo yafuatayo.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
Utakufa kwa presha..Ndugu mbumbumbu Goli Bora alitokani na hisia za mashabiki au timu iliyo funga