Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
We si useme tu kitu kilikuwa kina push....dakika ya 93 mmeshakula kimoja.Goli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk taasisi za fedha kama dhamana na kujipatia mkopo!
Ukilitumia kumtongozea Demu hachomoiGoli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk taasisi za fedha kama dhamana na kujipatia mkopo!