Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Goli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk taasisi za fedha kama dhamana na kujipatia mkopo!