Goli la Pacome lachaguliwa na CAF kama Goli Bora la Wiki

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Shirikisho la Soka Barani Afrika limelichagua goli alilofunga Mchezaji wa Yangasc, Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly kuwa ndilo Goli Bora la Wiki kwenye mechi za pili hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wananchi hapo vipi?

[emoji871] @anoth_paul

#GoalOfTheWeek #PacomeZouzoua #CAFCL #MatchDay2

Simba tungekuwa naye huyu angetupeleka final!

1701764869911.jpg
 
Na usisahau kuwa na ana point 2 na huyo mwenye goli bora la wiki ana point 1 kwenye michezo 2
Points 2 zinaweza kuwa 2 au 3 na piont moja inaweza kuwa 2 au 4..
Points 2 haziwezi kuwa 5 hilo haliwezekani.
 
Lile Goli la pili la Nouadhibou walilowafunga Pyramid ni zaidi ya Goli nilitegemea hata litakua Goli bora la msimu...
Sema page ya CAF wameshajua wabongo ndo mashabiki wao lazima wawape ili mpige nduru...
 
Shirikisho la Soka Barani Afrika limelichagua goli alilofunga Mchezaji wa Yangasc, Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly kuwa ndilo Goli Bora la Wiki kwenye mechi za pili hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wananchi hapo vipi?

[emoji871] @anoth_paul

#GoalOfTheWeek #PacomeZouzoua #CAFCL #MatchDay2

Simba tungekuwa naye huyu angetupeleka final!

View attachment 2833719
hivi, aziz ki ni overrated? au kwasababu wanamjua ubaya wake huwa anakabwa hadi anashindwa kufanay vitu vyake?
 
Lile Goli la pili la Nouadhibou walilowafunga Pyramid ni zaidi ya Goli nilitegemea hata litakua Goli bora la msimu...
Sema page ya CAF wameshajua wabongo ndo mashabiki wao lazima wawape ili mpige nduru...
Wabongo ndo wanazipa online engagements hizo page

Ila goli la Pacome ni shiiida
 
Back
Top Bottom