Goli la Pacome lachaguliwa na CAF kama Goli Bora la Wiki

Goli la Pacome lachaguliwa na CAF kama Goli Bora la Wiki

Lile Goli la pili la Nouadhibou walilowafunga Pyramid ni zaidi ya Goli nilitegemea hata litakua Goli bora la msimu...
Sema page ya CAF wameshajua wabongo ndo mashabiki wao lazima wawape ili mpige nduru...
Daaah Page za CAF zinajaa likes na comments za wabongo [emoji23][emoji23]

Unazikuta comments za kubishana
 
Shirikisho la Soka Barani Afrika limelichagua goli alilofunga Mchezaji wa Yangasc, Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly kuwa ndilo Goli Bora la Wiki kwenye mechi za pili hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wananchi hapo vipi?

[emoji871] @anoth_paul

#GoalOfTheWeek #PacomeZouzoua #CAFCL #MatchDay2

Simba tungekuwa naye huyu angetupeleka final!

View attachment 2833719
Mbona na nyie mko kwenye haya mashindano au umesahau mara hii
 
Back
Top Bottom