Goli la Shiza Kichuya(Simba SC) lachorewa mchoro Kisayansi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
 
Hahahahhh
 
Huo choro vipi?? Kichuya alitumia mguu wa kushoto
 
Hivi kichuya lile goli alifunga na mguu wa kulia au kushotoo?
 
Hivi kichuya lile goli alifunga na mguu wa kulia au kushotoo?
kushoto...nakumbuka msimu mmoja sadio mane alifunga goli kama lile lakin si mpira wa kona alijaribu kugeuka alipofunga tu ilibidi akae chini kuuguza maumiv maana ile angle hapana ilikuwa kati ya Soton vs Arsenale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…