OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao