Acha kufananisha kichuya na vitu vya kijingaKichuya kama beckam
Chukua tano mkuu![emoji109]Kichuya namfananisha na aliyekuwa anaitwa LUIS FIGO......
Bahati iliyoje!!!goli kama lile hutokea tena kila baada ya miaka 10 duniani kote.safari hii limepatikana TANZANIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]aka chaneta queens.
Watanzania tuna bahati sana mwaka huu, juzi juzi kupatwa kwa mwezi kumetokea Tanzania, tena Mbeya, ambayo ni nadra sana kutokea duniani. Hata miezi miwili haijaisha goli la namna hiyo linatokea tena Tanzania! Mweee jobha, Apatwile Mwakajua!goli kama lile hutokea tena kila baada ya miaka 10 duniani kote. Safari hii limepatikana TANZANIA
Just for illustrationNilifurahi sana Kichuya kukata ngebe za wazee wa Jangwani but mbona mchoro unaonyesha alitumia mguu wa kulia wakati kiuhalisia ni kwamba alitumia mguu wa kushoto? au sijaelewa uliposema limecholewa mchoro!!!
Hii nakumbuka shuleni tulikuwa tunaiita ANGLE THETA.Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
Gongo na kua kaliKichuya namfananisha na aliyekuwa anaitwa LUIS FIGO......
BarthezLile goli la kichuya ni hatar...Ile ilikua projectile motion.... at angle theta.... Dida hata akujigusa kitu immmmoooooo
Au kichuya anaijua projectile motion.?[emoji2] [emoji2] [emoji2]H
Hii nakumbuka shuleni tulikuwa tunaiita ANGLE THETA.
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
au arsenalHuyu dogo Leicester City hawamuoni?