Goli la Shiza Kichuya(Simba SC) lachorewa mchoro Kisayansi

Goli la Shiza Kichuya(Simba SC) lachorewa mchoro Kisayansi

yanga ana piga magoli ya kimaradona

arsenal ameiga toka yanga

wazungu huiga mambo ya maana tu.

mpinzani wa arsenal hawezi fanya ujinga kama wa ssc
 
1475571711888.jpg
 
goli kama lile hutokea tena kila baada ya miaka 10 duniani kote. Safari hii limepatikana TANZANIA
Watanzania tuna bahati sana mwaka huu, juzi juzi kupatwa kwa mwezi kumetokea Tanzania, tena Mbeya, ambayo ni nadra sana kutokea duniani. Hata miezi miwili haijaisha goli la namna hiyo linatokea tena Tanzania! Mweee jobha, Apatwile Mwakajua!
 
Nilifurahi sana Kichuya kukata ngebe za wazee wa Jangwani but mbona mchoro unaonyesha alitumia mguu wa kulia wakati kiuhalisia ni kwamba alitumia mguu wa kushoto? au sijaelewa uliposema limecholewa mchoro!!!
Just for illustration
 
H
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
14517446_649351221890563_8219146886724639471_n.png
Hii nakumbuka shuleni tulikuwa tunaiita ANGLE THETA.
 
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
14517446_649351221890563_8219146886724639471_n.png

Mbona picha inaonesha anapigia kulia wakati alitumia kushoto kufunga goli...........au mchoro wa kwako huu???!!!
 
Back
Top Bottom