Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Tunaishukuru serikali Kwa kuchagua goli hilo LA miujiza kutokea hapa Tanzania!!Hapa Kazi Tugoli kama lile hutokea tena kila baada ya miaka 10 duniani kote.safari hii limepatikana TANZANIA
Kweli mkuu maana magoli ya figo mpila lazima ukatee konaaa,itawachukua miongo kazaa upande wa pili kufunga goli kama hiliKichuya namfananisha na aliyekuwa anaitwa LUIS FIGO......
Wacha uongo wewe..Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
Leicester City ya wapi? Maana hata huku Mbagala kuna Leicester City, Arsenal, Chelse, ....Huyu dogo Leicester City hawamuoni?
George nketto wa twiga sports ya kinondoni alifunga goli km lile dhidi ya simba pale shamba bibi,nakumbuka kaseja alikuwa ndio kipa wa cmbaHhood mayanja alifunga dhidi ya azam kama LA kichuya.
Ni mchezaji wa African Lyon
Na HENRY alipiga goli kama hilo akiwa USA.
aka chaneta queens.
[emoji13]yanga kama LIPUMBA tu
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wataalam wa handball
Wacha uongo wewe..
Goli kama hilo hata Azam walifungwa na timu ya African Lyon.....
Wabongo kwa uzushi duh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
goli la Kichuya linawakilisha nchi kitaifa,nyie Yanga acheni husda.hili goli sio la Simba tu,ni la WatanzaniaWacha uongo wewe..
Goli kama hilo hata Azam walifungwa na timu ya African Lyon.....
Wabongo kwa uzushi duh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
MLIOPO ENEO LA TUKIO TUPIENI PICHA
kushotoHivi kichuya lile goli alifunga na mguu wa kulia au kushotoo?