Goli la Shiza Kichuya(Simba SC) lachorewa mchoro Kisayansi

Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
14517446_649351221890563_8219146886724639471_n.png
Wacha uongo wewe..
Goli kama hilo hata Azam walifungwa na timu ya African Lyon.....
Wabongo kwa uzushi duh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Na HENRY alipiga goli kama hilo akiwa USA.
 
Hhood mayanja alifunga dhidi ya azam kama LA kichuya.
Ni mchezaji wa African Lyon
George nketto wa twiga sports ya kinondoni alifunga goli km lile dhidi ya simba pale shamba bibi,nakumbuka kaseja alikuwa ndio kipa wa cmba
 
yanga kama LIPUMBA tu
[emoji13]
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi lilifungwa na mchezaji huyo tegemezi kupitia mpira wa kona ulioingia moja kwa moja na kumuacha goli kipa wa Yanga akishika kichwa.
FIFA wamelitambua goli hilo na wanalifanyia kazi goli hilo katika vikao vyao na wataliingiza katika kumbukumbu zao
14517446_649351221890563_8219146886724639471_n.png
 
Na goli la Tambwe lile la mkono kama kauli mbiu ya Chama chetu lichunguzwe
 
Nchi yetu INA bahati ,kupatwa kwa jua,tetemeko na sasa goli LA kisayansi.
 
Wacha uongo wewe..
Goli kama hilo hata Azam walifungwa na timu ya African Lyon.....
Wabongo kwa uzushi duh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wacha uongo wewe..
Goli kama hilo hata Azam walifungwa na timu ya African Lyon.....
Wabongo kwa uzushi duh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
goli la Kichuya linawakilisha nchi kitaifa,nyie Yanga acheni husda.hili goli sio la Simba tu,ni la Watanzania
 
Back
Top Bottom