Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

na wale pale uwanjani waliokuwa wanaligomea ni wachezaji wa timu gani?
Ulikuja kusikia baadae after match wakiendelea kulalamika?



Thierry Henry celebrates his goal against Chelsea
Thierry Henry scored from a quickly taken free-kick for Arsenal against Chelsea on Sunday.
As Chelsea 'keeper Petr Cech lined up his wall, Henry took the free-kick and scored.
And in theory every free-kick can be taken quickly and it's not the first time that Henry has taken advantage.

The Academy spoke to Premiership referee Graham Poll last season after a similar Henry strike against Aston Villa and he explained the ruling.


Graham Poll
Premiership referee

First you have to deal with the principle of a free-kick.

If the attacking team are fouled then it is they who hold the advantage.
With a free-kick around the penalty area, we always ask the players whether they want it quick or slow.
This is their window of opportunity to surprise the defence.


Henry scored the same way against Villa last season


If they want it quick, then they have given up the right to re-take it, no matter if it hits a defender who's three yards away.
The same goes if they kick it over the bar. They only get one chance.
The flip side is if they want it slow, they can't then take it while I count out the ten yards for the wall.

They must wait for my whistle.
There is nothing in the laws of the game that say we have to indicate for the free-kick to be taken.
It's just like when someone wants to take a free-kick anywhere else on the field.
As long as the ball is stationary and in the right place then the attacking team can take it as quickly as they like.
 
Lile lilikuwa ni goli la kihuni. Period!!
Kama ni goli la kihuni achana na kandanda maana sheria za kandanda zinaruhusu goli hilo. On a lingine hili hapa:
Your browser is not able to display this video.
 
Kosa alilolifanya refa ni kujadili na wachezaji wa azam, refa angekuwa haongei na wachezaji waliofungwa lile goli ni halali
Hiyo ya kuongea ni kanuni gani ?
 
Hiyo ya kuongea ni kanuni gani ?
Ukisema uzungumzie kanuni basi lile sio goli halali, kanuni ya quick start inataka waliofanya faulo wawe 10 yard kutoka mpira ulipo lakini wale wachezaji wa azam walikuwa too close,
 
Wanaolalamika wamezoea mechi za hapa tanzania tu. Simba ni wa kimataifa. Wanajifunza mengi huko wenyehi wanaona miujiza.
 
Ukisema uzungumzie kanuni basi lile sio goli halali, kanuni ya quick start inataka waliofanya faulo wawe 10 yard kutoka mpira ulipo lakini wale wachezaji wa azam walikuwa too close,
Advantage anapewa mpigaji,goli halali kabisa!Kama ukiendelea kuangalia mpira utakuja kujifunza huko mbeleni!
 
Liwe goli au sio goli bado ni mjadala mkubwa sana na haitatokea kuwa na suluhu kwa pande zote kukubaliana hapa kwani wengi wetu hapa tumetanguliza mapenzi ya timu zetu badala ya ukweli. Suala kubwa sana kwangu ni kwa Azam imeshiriki ligi kuu kwa misimu zaidi ya nane (kama sikosei) na sasa wanaenda kimataifa kwa mara nyingine tena hivi kocha wao huwa hawapi majukumu uwanjani au wenyewe hawapeani majukumu uwanjani? Kwa sisi tuliocheza mpira zamani madaraja ya chini kabisa tunajua kabisa tukifika uwanjani nani atapiga kona, nani atapiga faulu/penati zote, nani atamtisha refa ili kumtoa mchezoni ili awapendelee, nani atawakasarisha/atawachokoza wachezaji wa timu pinzani ili wapewe kadi, nani atachezea faulu za kiufundi wachezaji hatari wa timu pinzani ili watoke nguvu yao ipungue .n.k. Sasa wachezaji wa Azam wote wanamfuata refa kwenda kubishana nae hujui kapteni nani kati yao halafu huku hakuna aliyesimama mbele ya mpira ili faulu isipigwe mpaka wenzake wajipange.

Azam wana kitu cha kujifunza kabla michezo ya kimataifa haijaanza vinginevyo watakuwa wanafungwa magoli ya hovyo hovyo namna ile na kadi zitakuwa zinawahusu. Wao walishwadhibiti Simba na mchezo ulikuwa unaenda kwenye matuta na kwa kiasi kikubwa wangeweza shinda kwani Simba walishaanza kukosa kujiamini mwishoni lakini uzembe wao wa kila mchezaji kwenda kubishana na mwamuzi umewagahrimu pakubwa sana. Poleni sana Azam kwani goli lile liwe halali au sio halali wakulaumiwa zaidi ni nyie wenyewe .
 
Filimbi ikishapulizwa na refa kuonesha ishara ni faulo ile muda aliyokatwa, hamna haja ya kupulizwa filimbi nyingine ya kuanzisha mpira. Hata faulo ambazo mchezaji huchezewa kwenye dimba lake akilinda asifungwe hazianzwi kwa filimbi ya pili huweka mpira na kuanzisha.

Turejee tukio lile la mechi, ilitakiwa aliyefanya faulo asitoke pale ulipo mpira. Muda wote na hakuna ambaye ana mamlaka ya kumtoa isipokuwa refa pekee, naye hamtoi kwa kumsukuma bali ni kumpigia hatua na kuja kumwonesha mahali gani anapaswa kusimama kuweka ukuta. Vinginevyo kuuacha mpira wazi, inaruhusiwa kuanzisha mpira kwa mpinzani wake. Hii iliwahi kutokea mechi ya Real Madrid na Sevilla, walimvhezea rafu Asensio wakauacha mpira wazi wakimzonga refa, Nacho alichofanya akaupiga mpira ty kuuingiza wavuni refa akakubali ni goli.

Mechi ile ya Simba si refa Alowasimamisha wachezaji aongee nao, bali wao ndiyo walimzonga wakati aliahatoa uamuzi ni faulo. Hata Agrey Morris kapteni wao kakiri wamefanya uzembe
 
Ninachosema mimi lile lile goli lingefungwa simba kwa style ile ile lingekataliwa na mpira ungerudishwa tena pale then wangejipanga ndipo ungepigwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…