Goli lile la Nsajigwa lilifanya niache kushangilia Taifa stars 2009

Wachezaji wa Taifa Stars wengi wanatoka Ligi Kuu, na wote tuanajua ligi kuu si bora sana, lawama kwa Kocha ni kuficha udhaifu wetu tu kuwa tuna wachezaji wasiojua wajibu wao na kujituma vya kutosha, ndio maana kabla na baada ya matokeo ya jana na Lesotho kila mchambuzi na shabiki lawama zote zimeenda kwa kocha na husikii wchezaji waliokuwa uwanjani wakizungumzwa.
 
Bora timu ya taifa iundwe na wazznzibari ambao wameonyesha uwezo mkubwa wa mpira kuliko wachezaji wetu wengi wa bara.
 
Hivi yule beki aliyetoa kona iliyozaa goli alikuwa anawaza nini maana hakukuwa na pressure yoyote au aliweka mzigo kwa Mhindi?
Goli lile la Manula, kapanguliandani badala ya konzi la nje.
 
Goli lile la Manula, kapanguliandani badala ya konzi la nje.
Angalau hata Manula alikuwa na pressure so unaweza kumlaumu kidogo. Kona haitolewi kwa kujisikia kama vile tu unataka kutoa simu mfukoni.
 
Hiki kitimu kinakera naona washukie mtwara kuna kubangua korosho
 
Nadhani hili jina la Taifa stars litakuwa lina laana kama sio Mkosi
 
Na bora hawaja kqalifai kwenda kamerun. mana wangetutia aibu kubwa.
 
ingekuwa Colombia Manula angepigwa risasi..alafu hata halijali..michezaji mingine nuksi tu...eti Tanzania one.. my ass
 
Hii timu iko Dar kila mtu Dar ni mjuaji bora hata ingepelekwa Rukwa huko.
Mkuu aisei kumbe tuliacha siku moja kuishangilia hii timu ya vidudu mtu..!

Ni vigumu sana, ninavyojua mpira unaopigwa Ulaya leo, kushawishiwa kushangilia huu utumbo wa hii team ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…