Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Wachezaji wa Taifa Stars wengi wanatoka Ligi Kuu, na wote tuanajua ligi kuu si bora sana, lawama kwa Kocha ni kuficha udhaifu wetu tu kuwa tuna wachezaji wasiojua wajibu wao na kujituma vya kutosha, ndio maana kabla na baada ya matokeo ya jana na Lesotho kila mchambuzi na shabiki lawama zote zimeenda kwa kocha na husikii wchezaji waliokuwa uwanjani wakizungumzwa.