Goli lile pale Tanga angefungwa Manula mitandaoni pangechafuka

Unamlaumu vipi Inonga wakati aliteleza na kuumia pale?ulidhani kajifanyisha kuanguka na wakati kaikosa mechi ya Coastal kwa kuumia kule?Ungekuwa umewahi kucheza japo mpira ungeelewa
Inonga anaendelea kuutumia huo utalam wa kuteleza kiwaahadaa mshabiki na goli zinaingia na mzgo atabebeshwa Kennedy tu.
 
Lile goli hakuna kipa anadaka,alishawahi kufungwa diarra na shiza kichuya
Hakuna atakayekumbusha hili. Nimewapa madhaifu ya Lakred wanasema mpira uligonga Mwamba Kwanza. Nashangaa Mechi ya Jana goli la Coast mpira uligonga Mwamba gani?
 
Manula hafai kashachoka. Si ndio huyu alisababishwa Simba kupigwa goli tano. Shida ya Simba wanahangaika na wachezaji waliochoka. Ngoja waendelee kuwadididmiza.
 
Inonga anaendelea kuutumia huo utalam wa kuteleza kiwaahadaa mshabiki na goli zinaingia na mzgo atabebeshwa Kennedy tu.
Ungekuwa umewahi kucheza mpira ungetambua kuwa mchezaji hapendi kukosa mechi kwa sababu yoyote,dakrari wa timu kakiri Inonga kaumia,kwa hiyo unataka kusema Kennedy alikubali kugeuzwa makusudi kwa sababu Inonga kajifanyisha?Akili za wapi hizi?
 
Mpira unaouzungumzia ni upi, mbna unajikuta mchezaji mkuu, unanijua ama unaongea Bila uhakika.
Mpira nmecheza na ninaufahamu, kuhusu Inonga ataendelea na utaratibu huohuo wa kuteleza akiwaaminisha kaumia na goli zinaingia .
 
Kuna mashabiki wa Simba utafikiri wametupiwa majini ya Mayele, kipa wa Simba akiwa Manual goli lolote atakalofungwa watamsingizia kauza mechi bila kuangalia Nini kilisababisha goli.
Hawakutupiwa majini bali wameyaokota wenyewe!
 
Mpira unaouzungumzia ni upi, mbna unajikuta mchezaji mkuu, unanijua ama unaongea Bila uhakika.
Mpira nmecheza na ninaufahamu, kuhusu Inonga ataendelea na utaratibu huohuo wa kuteleza akiwaaminisha kaumia na goli zinaingia .
Ukiacha goli dhidi ya Prisons,Inonga aliteleza tena lini goli likaingia?Huyu Inonga huyu huyu anayemweka benchi Batibinsika wa Saint Etiene kwenye timu ya taifa?Haina haja ya kukufahamu,maneno yako tu yanaonesha hujui mpira.
 
Tukianza hoja za kuujua mpira tutafika mbali, Inonga anamakosa kibao tu, na haihitaji utaalam kuyaona na ni mzur kucheza na fikra za shabiki.
 
Hakuna atakayekumbusha hili. Nimewapa madhaifu ya Lakred wanasema mpira uligonga Mwamba Kwanza. Nashangaa Mechi ya Jana goli la Coast mpira uligonga Mwamba gani?
Kwa engo ile kiungo yoyote anayejua boli,akishaona kipa kasogea mbele hata hatua moja tu anapiga banana chop kipa anabaki anaogelea tu.,magoli safi sana yale
 
Lini Inonga alijifanyisha kuumia na kukosa mechi?Unadhani kuna mchezaji anapenda kukosa mechi kwa sababu zozote zile?labda kama ile mechi ulitazama kwenye TV ya Chogo
Haumfahau vizuri huyo jamaa ni bingwa wa drama akiona game nzito hua anajivunja
 
Ukiacha goli dhidi ya Prisons,Inonga aliteleza tena lini goli likaingia?Huyu Inonga huyu huyu anayemweka benchi Batibinsika wa Saint Etiene kwenye timu ya taifa?Haina haja ya kukufahamu,maneno yako tu yanaonesha hujui mpira.
Kaangalie mechi ya Yanga na Simba kombe la FA ilichezwa Mwanza, alipanda na mpira akaporwa ikapigwa counter attack alipo ona kachomesha akajidondosha chini ili aoenekane hakuhusika na mistake, kuna mechi ya Azam FC na Simba alifanya mbwembwe akanyang'aywa mpira alipo ona wanaenda kufungwa akajilaza
 
Ni kama Una hoja, hebu ngoja niingie chimbo.
 
Tukianza hoja za kuujua mpira tutafika mbali, Inonga anamakosa kibao tu, na haihitaji utaalam kuyaona na ni mzur kucheza na fikra za shabiki.
Wewe na makocha nani anajua mpira,kocha gani atakubali kumpanga beki mwenye makosa kibao tena mbele ya beki anayecheza ligi kuu Ufaransa?hayo makosa kibao unayaona peke yako?Inonga ameshatwaa tuzo ya beki bora Congo na Tanzania,mtu asiyejua mpira pekee atakubaliana na wewe
 
Mechi ya Simba na KMC kuna goli alifungwa Ayoub baada ya kutema mpira ila hatukusikia kelele zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…