Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 4,260
- 7,033
Inonga anaendelea kuutumia huo utalam wa kuteleza kiwaahadaa mshabiki na goli zinaingia na mzgo atabebeshwa Kennedy tu.Unamlaumu vipi Inonga wakati aliteleza na kuumia pale?ulidhani kajifanyisha kuanguka na wakati kaikosa mechi ya Coastal kwa kuumia kule?Ungekuwa umewahi kucheza japo mpira ungeelewa