Goli moja tu anaugua

rom

Senior Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
111
Reaction score
16
mambo vipi wapendwa. Rafiki yangu anatatizo la kuumwa kila anapolala na mke wake. Ni kwamba anasema kwa sasa limekuwa sugu zamani hata vitatu anatoka yupo vizuri lakin kwa sasa bao moja tu analala pemben na asubuh anaamka na homa mwili wote unauma na uchovu wa viungo.
 
MWAMBIE AFANYE mAZOEZI APUNGUZE KITAMBI. AKIMBUIE ATLEAST KM 2 DAILY
 
arrgh..
Mwambie aache kuaibisha wanaume.
angangamale kazi ya jeshi si lelemama.
OTIS
 
Kuna mambo mengi yanachangia kuwa na upungufu wa nguvu za kiume, halafu ukitilia maananani matatizo yanayompata baada ya kukutana na mkewe. Mshauri huyo jamaa yako aende akaonane na wataalamu wa afya, majibu ya hapa yatakuwa too general na sidhani kama yanaweza kumsaidia sana.
 
Reactions: rom
solution: ajaribu kutumia TIKITI MAJI. Dozi yake ni robo tikiti kutwa mara 2, kwa siku 7. Hakikisha unapata tikiti kubwa lililokomaa vizuri, kula na mbegu zake. Usisahau kuleta FEEDBACK hapa.
 

asante sn.
 
solution: ajaribu kutumia TIKITI MAJI. Dozi yake ni robo tikiti kutwa mara 2, kwa siku 7. Hakikisha unapata tikiti kubwa lililokomaa vizuri, kula na mbegu zake. Usisahau kuleta FEEDBACK hapa.

asante nitamjuza.. Ila atafune na zile mbegu ngumu za tikiti maji?
 
Pole sana mkuu, ila ukipitia pitia nyuzi nyingine humu utagundua kuwa hauko peke yako.
 
kitambi hana ila anauzito kama kilo 85.

kilo 85 siyo tatizo afanye mazoezi ya kutosha itamsaidia kutochoka mara baada ya kupiga hilo bao moja pia itamsaidia kuhimili kuongeza kama atakuwa anahitaji,good example ni watu kama mabondia au wanyanyua vyuma vizito wanafikisha mpaka kilo mia moja lakini inapofika kwenye mambo ya mechi wako fit sana.
 
Reactions: rom
mazoezi ni muhimu sana pamoja na vyakula vya asili bila kusahau kujiandaa kwa jambo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…